Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habar wakuu,naomben msaada wenu..nina huawei yangu hapa,,ambayo ni laini mbili ila upande wa net inatumia tigo pekee.naombeni msaada kama kuna uwezekano wa kuifanya itumie lain zote mbili kwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nilikuwa najaribu kuroot kwa kutumia SP FLASH ,TWRP ,SUPERSU nikafuata maelezo but sijui nimekose wapi kidogo ikaleta maandishi ya namna hii kwenye pc[emoji116] Ikaniambia format all nilipobofya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natanguliza shukrani kwenu wana jf Naomba kujuzwa bei za projector za bei rahisi sana kampuni yeyote ile ni kwa matumizi ya kawaida tu Napenda kuwasilisha kwenu
0 Reactions
8 Replies
7K Views
  • Closed
Nlinunua hivi vitu moaka kama 7 nyuma, nkavitumia kidogo nkaweka pembeni, leo kufukua fukua nkakutana na briefcase yenye hivi vifaa. Nlinunua mahususi kwa ajili ya kutimiza ndoto yangu ya ku...
0 Reactions
3 Replies
964 Views
App hii inaitwa 'Zinazosomwa' inapatikana google play kupitia link hii: Zinazosomwa – Applications Android sur Google Play App hii ina uwezo wa kugundua ni jambo gani au mtu gani maarufu anavuma...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Naomba msaada Nina MacBook air min 13 inchi, nimeitumia kwa muda naona inapungua uwezo wa betri na feni yake inawaka muda mfupi tu baada ya kuanza kuitumia Sent from my SM-G531H using JamiiForums...
0 Reactions
2 Replies
712 Views
Wakuu wa jukwaa,poleni na mihangaiko ya kila siku ya kutafuta chapaa ili maisha yasonge. Nimekuwa nikiomba msaada sana jinsi ya kuroot simu yangu ya huawei mate 8 bila mafanikio,nashukuru kwa...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Ktk vitu ambavyo vinaniuzi kwenye computer ni kila siku kupiga window. Naomba kuuliza. Hivi hamna computer ambazo haziingii virus kabisa? Kwasababu hizi zingine hata ukiweka [emoji220] virus...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nashndwa kudowlod vitu kwa kutumia Utorrent hivi mnafanyaje naombeni msaada
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mkopo Poa Ndgu zangu.... Mwenye uwelewa kuhusu simu ya Iphone. Kifupi nimeletewa iphone na mtu anashida na pesa... Alinipatia ikiwa inawaka na kuzima kwahyo sikuwa na uwezo wa kuikagua... Baadaye...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama RAM ya computer imekufa na una mpango wa kununua nyingine lakini si kwa sasa, Je kuna uwezekano wa kutumia computer bila kupata matatizo yoyote. Sent from my TECNO S3+ using JamiiForums...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana JF...... Kuna tatizo kwenye simu yangu ambayo nimeireboot baada ya kuireboot inataka google account ya zamani ila nimeingiza email lakini password nimezisahau na siwezi kuona mafail...
1 Reactions
7 Replies
22K Views
Jamani mwenye kuijua hii simu aniambie ikoje!! Nimeikuta dukani uko vizur Sana.. Naombeni ushauri plzz... Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu nahitaji mwenye image ya windows tajwa hapo juu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu hiv naweza tumia antena ya startimes kwenye decoda ya strong ili nipate channel za kibongo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
husika na kichwa cha habari, ninataka jua ni jinsi gani unaweza tumia laptop kuwa source ya internet kwenda kwenye mobile wifi naomba mwenye utaalamu anisaidie nataka niunganishe simu itumie...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Wapenzi, habari za leo, Naomba kuuliza hii alama hapa juu kwenye simu inamaanisha nini? Simu ni mpya nimetumiwa.
0 Reactions
23 Replies
5K Views
-Taja aina ya simu na model number -Weka picha za simu -Taja mkoa uliyopo -Weka namba za simu
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Salama wakuu, kwa wanaozijua hizi simu tatu Lumia (window phone) 950XL, Samsung galxy j7 prime na iphone 6s, je ipi ni nzuri zaidi.....
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tafadhali kama kuna MTU anajua kutumia Dstv explora ningependa nipate namba ya simu Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom