WanaJF na wataalam kwa ujumla naomba nifahamishwe jinsi ya kuzichukua Notes za kwenye THL eSchool application na kuziweka kwenye Ms Words.
karibuni wadau!!!
Sent from my TECNO_W4 using...
Naomba msaa wa kujua kuanza kutumia king'amuz cha.kontinento yaaan kwa kukielekezea ukiwa dodoma.
dish na dish setup niwekaje jama ili strentgh na quality vitokee coz havtokei kabisa
Habari Tena wana JF, Kama kawaida leo tunajifunza tena kitu kingine kuhusu teknolojia, leo tunajifunza kuhusu jinsi ya kuficha mafile ya simu yako kwa kutumia calculator au kikokotozi. Njia hizi...
Salaam kwenu wahenga wenzangu. Nina hii Application ya mabodro, kwakweli iko vizuri. Ila tatizo mb zinawahi kuisha kabla ya movie kuisha. Huwa natumia ya kwako tu(mb 800) Vodacom. Je, nikiwa na mb...
Habari zenu wadau, nilitaka kujua kati ya kucheza game kwa kutumia computer na game consoles mfano PS, xbox, nintendo n.k , ipi ni njia nzuri ya kuinjoy kucheza game?
Habari wakuu..
Naomba kujua km inawezekana kurudia version ya simu yako kwa mfano kutoka version ya Marshmallow kurudia Lollipop baada ya ku-update simu.
Asante.
Sent from my SM-J500H using...
Najua ktk jukwaa kama hili vipimo ndo kila kitu na kuna wajuzi wa vitu vingi.
Naomba kujuzwa vipimo kwa vitu vifuatavyo :
(1)Upana(kwa kawaida) wa kabati za vyombo milango mitatu.
(2)Upana wa...
Naomba kujua namna ya kumuweka blacklist/kumblock mtu kwa kwenye simu aina ya huwawei y336 uo2
Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
A Mathematician Proposing a girl
.
Yesterday, I was passing by your
rectangular house
in trigonometric lane.
There I saw you with your cute
circular
face,
conical nose and spherical eyes,
standing...
Habari wadau!
Naomba msaada kwa mtu anayejua sehemu (duka) ambalo naweza kupata receiver ya strong (SRT 4922), hasa kwa Dar es Salaam na Mwanza.
Natanguliza shukrani.
jamani naomba mnipe msaada wa namna ya kudownload games haswa GTA na FIFA, nimejaribu kwa torrent nimeshndwa, natumia window xp, 2.99 processor, 1gb ram
au kama kuna msamalia mwema anaweza...
Natumia Huawei y541 sasa nilibadilisha recovery image, ila nimepoteza backup ya ile official recovery image, msaada kwa ambayo anaweza kunisaidia.
Kwa walioroot naombani backup
Sent from my...
wakubwa msaada natumia king'amuzi cha dish star times lakini nimejalibu kutumia flash nimeshindwa kujua jinsi ya kufanya maana sehemu ya flash ipo lakini kwenye remote hakuna alama ya USB
Wajuzi wasimu wanisaidie ipi ni simu bomba kwa matumizi na imara zaidi kati ya sony xperia z1 na sumsung garaxy s8
......... Msaada tafadhali........
Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.