Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wanandugu nilikuwa naomba msaada nimekuwa na simu hii kwa muda wa mwaka sasa tatizo simu ilivunjika touch yake ikawa haifanyi kazi nimejitahidi kutafuta touch yake hapa kariakoo imeshindikana kila...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wanajamii wenzangu naombeni msaada kama kichwa kinavyosema hapo juu software itakayoniwezesha kurekodi screen ya mashine yangu.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Simu yangu Tecno W4 nimetumia miracle crack wakati nina Read ili nicopy Stock rom kwa ajili ya simu iliyokuwa imebrick ila ukiconnect ilikuwa inasoma USB DRIVERS nilichofanya ni kitu kimoja maana...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ninaomba maarifa namna ya kupiga window kwa kutumia flash disk maana mlango wa DVD hamsomi ,kwa wenye utaalam kwa kutumia flash disk naomba pamoja na driver zake ili nifanikiwe wakuu . Post sent...
0 Reactions
3 Replies
824 Views
Anaye fahamu wale WA insta Post sent using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Rejea kichwa cha habari, naomba msaada wa screenshots nifanye mannual configuration ktkt smartphone yangu. Nimewapigia customer care service zaid ya mara nne wakaahidi kunitumia hizo settings...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu, nina mnyama wa Yamaha YBR -125. Nimetafuta sana spears, imekuwa ni tatizo. Nisehemu gani naweza zipata?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Naona wengi wana tambiana kutumia simu za gharama baada ya kuwa displayed mwishoni wa Meseji. Haya mambo ya technology na owner naye vipi?!?!
9 Reactions
199 Replies
15K Views
Wakuu heshima na iwe kwenu. Awali nilileta kwenu ombi langu la kupata app kwenye simu yangu ya kumix sauti(tangazo) nashukuru sana kwa msaada wenu app mliyonipatia ya Crossdj inafanya vizuri hadi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hatimae nami nimerudi kwenye ulimwengu wa android(kuifanya lolote simu yako na kuwa huru utakacho) naomba msaada wa hii game ya leo's fortune aliye na link ya kupakuwa bure aitupie hapa ubaoni...
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Leo matokeo ya ACSEE yametoka. Ilikua ngumu kidogo kuyapata maana server ilikua very busy. Sasa kama kubrush kidogo JavaScript knowledge nimeandika crawler fasta fasta kuvuta pages zote then...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina htc m8 nikiweka laini ya tigo inasoma ila,,ila ya vodacom haisomi,,msaada please. Post sent using JamiiForums mobile app
0 Reactions
7 Replies
778 Views
Habari zenu wadau Niende kwenye lengo. Ninahitaj kwa anaefahamu jinsi ya Kupiga chini system ya Nokia Lumia ambayo window ake unafny kazi Kam window za kawaida Yaan 8.0 ila hii ni RT. Hii window...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Nimekutana na hizi nyumba zilizojengwa kwa shipping containers nimezipenda sana. Very simple and clean design, contemporary houses. Na hata kama sio kwa ajili ya nyumba nadhani inafaa kitu kama a...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Ni aina ya dell but ukijaribu kuinstall program inaandika imecorrupt program hiyo hiyo nikiweka kwenye pc nyingine inakubali, nimepiga window hadi mara mbili nikijua nitamaliza tatizo but naona...
1 Reactions
5 Replies
993 Views
Habari nina simu yangu ya Vodafone VF695 sasa nahitaji iweze kutumia mitandao yote sasa nikiweka laini tofauti na voda inasema niweke Network PIN sasa nahitaji mtaalamu wa kuweza kunipatia hozo...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom