Nawezaje kuzuia pop ups ads kwenye sim yangu.? Yaani unakuta nikitoa password litangazo linatokea kinawakati napiga sim tangazo linatokea nakereka mno. Aina ya sim Ni galaxy A5
Wakuu habari ya kazi, naamini mko kwenye majukumu yenu ya kila siku ili mkono uemde kinywani.
Ninatumia king'amuzi cha DSTV. Tatizo nililonalo ni setting yake kupoteza connection kila mara au...
katika ulimwengu wa technologia hasa kwa upande wa smartphone kuna vigezo muhimu kwa makampuni ya simu ili kuweza kulikamata soko,mfano mzuri ni samsung ambae namkubali sana kwenye upande wa...
Maana naona fursa nyingi ni janja janja wanakwambia utavuna free but at the end huoni matunda yake mpk nakoswa imani kwa free money without kutoka jasho ,juzi nimeona uzi wa ndugu TECH eti...
Tunafahamu kuwa Dubai ni moja ya nchi tajiri sana duniani, ambayo imepiga hatua kubwa sana kwa upande wa uchumi na teknolojia ya hali ya juu. Ni moja kati ya nchi inayokuwa kwa kasi sana...
Wakuu habari zenu.
Naomba mnisaidie maana simu yangu ina tatizo la kutoonesha applications kwenye home screen hali inayonilazimu kuzunguka sana settings ili kulaunch app ninayo hitaji
hivyo...
Salaam wanataalum humu
Kama mada inavyojieleza naomba mnipe ufumbuzi wa tatizo la hii Simu yangu
Natumia Viwa A4 hivi majuzi limeanza tatizo kwanza betri ikiisha kabisa haliwezi kuchajika kwa...
Jinsi ya kuweka subtitle kwenye movie,kuna movie nilikuwa na watch through desktop nika copy iliniangalie kwenye laptop. Sasa huku subtitle hazitokei and movie sio ya kingereza but subtitle ndo za...
Habari!
Kuna group ambalo nahitaji kuwa totaly pasive, ikibidi nisilione kabisa lakini nisijitoe. Ikiwezekana meseji zake nisiwe nazisikia na wala lisiwe linakuja huku juu meseji mpya zikiingia...
Post in thread 'Fahamu haya kuhusu Dubai kwa upande wa Teknolojia' by nelly poul has been reported by Tanzania Tech. Reason given:
Makala kwenye uzi huu imechukuliwa kwenye
tovuti ya Tanzania...
Nina basic ya network kwa kiasi chake na network installation si tatizo kwangu, tatizo Uja hapo kwenye configuration so please kama kuna mtu ana mahali nitakapo weza hayo mafunzo haswa ya ki...
wadau nina samsung yangu ambayo imekuja na kimtandao cha huko mbele kinaitwa Metropcs sasa hii simu inaspot data ya wcdma/LTE but inafanya kazi kwenye gsm tu..na nikiswitch data to lte or wcdma...
Wakuu nina simu ya CAT B15 imecrush haifungui app yeyote au operation yeyote ile any thing you open ina kuja pop up "unfortunately .....has stopped " hapo kwenye ...... itataja app au syste...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.