Amani kweni wanajamii forums.Naomba nisaidie please.Kila nikitaka kudownload game katika laptop inaniandikia (The program can't start because MSVCP100.DLL is missing from your computer.Try...
waungwana, naomba msaada nifanye nini ili laptop yangu uwake. Jana nilikuwa nafanya kazi muhimu sna, wakati nataka kuiattach Kwenye email battery ilikuwa very low. Kwahiyo kitendo cha kuchukua...
Mimi nawaza kutafuta Huawei baada ya kusikia tecno ni vimeo. Naomba wenye kuzijua watufafanulie ubora wake na mapungufu yake.
Kwasababu nimekua sizioni sana Huawei madukani kama miaka ya nyuma...
Heshima yenu wakuu!
Msaada tutani simu yangu ya android kila mara ikionyesha kua memory is not enough kwenye DCIM nikifungua nakutana na thumbimages nikidelete inakua na free storage ya kutosha...
Wakuu naomba mnisaidie apps zote za elimu ambazo ni rafiki kwa kujifunza masomo mbalimbali ya advance hasa art.
pia naomba mnisaidie app ya kubadili audio ya lugha yoyote ile kuwa English...
Kampuni ya simu ya Tecno Mobile, ina taarifa njema kwa watumiaji wa simu janja Tanzania. Tecno mobile inatarajia kuingiza sokoni simu mpya TECNO L9 plus sokoni hivyo kampuni hiyo imetoa nafasi ya...
Ninasimu aina ya PHILIPS Xenium w6618 imevunjika kioo naomba msaada pakuipata screen imekufa kabisa siwezi kufanya chochote ila inawaka.
Natanguliza shukrani kwanza
Habari wataalamu wa jukwaa hili.Simu yangu aina ya Tecno J7 haina uwezo wa kufungua file zinazotumwa zikiwa kwenye mfumo wa pdf,nitumie njia ipi niweze kufungua file hizo?
Ahsanteni sana.
Wakuu naomba msaada nahitaji kununua tablet yenye OS ya microsoft windows ambayo nitaweza install applications za computer kama kawaida na iwe touchscreen.
Nasubiri michango yenu wana Jamii,
Thanks.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikipekua na kutafuta Apps za Christian Gospel Hymns za kiswahili bila mafanikio, Apps za Biblia ya kiswahili zipo na zinasaidia sana katika handset zetu. Wataalam wa Apps...
Wakuu habari za leo,
Naomba mnisaidie mwenye uelewa na simu aina ya infinix, nashindwa kuelewa nilikuwa nimezima naichaji nimeamua niwashe ikatokea maneno ya kichina hayaeleweki, Simu ikagoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.