Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nna S4 imekufa mashine na fundi kanambia haiwez pona ila screen na vitu vingne vyote vizima, so km kuna mtu ana s4 ilokufa kioo aniuzie mashine au km kuna mtu anataka kioo cha s4 nimuuzie mm
1 Reactions
1 Replies
583 Views
Leo nimeingia ebay kununua motherboard ya laptop Toshiba Satellite pro A120, nikaipata inauzwa dolla 36.38 kupitia hii link baada ya kufuatilia maelezo ya muuzaji nikaona hatumi kwenye PO BOX...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Siku hizi wizi wa vifaa vya kuhifadhia kumbumbu muhimu huwa vinaibiwa sana haswa komputa , komputa nyingi tumeshuhudiwa zikiibiwa na wengine wakitangaza katika mtandao kuhusu hizo computer zao au...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mada yajieleza nahitaji kupima kipande cha ardhi ili nijue kina umbali gani, kinatakiwa kilimwe barabara ya mtaa ili kandarasi asiibe hera nitjuaje umbali wake? Kumbuka hapapitiki kwamba naweza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba msaada jinsi ya kupata network ya H+ kwenye Tecno j5 3g iko very slow
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa cha Uzi unavyoeleza nisaidieni nisije jutia uwamuzi wangu Wakuu Maana simu izi Daaah.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye ujuzi juu ya hii app aliyoigundua mtanzania mwenzetu inayoitwa TELBOX TANZANIA kwa ajili ya kuhang taarifa za simu nyingine. Naomba kufajamishwa kwa wale tulioko nje ya nchi na...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Hapa utapata namna ya kujua... 1.How to Place Facebook Chat On Firefox Sidebar 2.How to Download Facebook Photo Albums 3.How to Share Flickr Photos to Facebook 4.How to Update Facebook without...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji box (octopus)Iwe ambayo in new model .kwa kwauzaji naomba tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Wakuu habari za siku nyingi? Naomba kama kuna mtu anaeuza PC Monitor nzuri kuanzia 23" hadi 27" anijuze. Nipo kwenye project moja ya custom PC Build, parts zote zimefika ila monitor nimeamua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada mwenye kujua bei ya simu sumsung s6 ya 2015 dukani ni bei gani. Msaada wa haraka
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina tecno N2 ambayo ipo locked kwa mtandao wa Tigo, naomba msaada wenu wa jinsi ya kuunlock
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Amani kwenu wadau.. Wadau nahitaji kufahamu au kujua jinsi ya ku upload video youtube yan kuwa na channel au account yng ambayo ntakuwa naweka videos zangu yan kujisajil pia na vigezo vyake...
4 Reactions
54 Replies
11K Views
Nisaidieni wadau juu ya mada tajwa hapo juu Nimejaribu kubadili adaptor lakini tatizo bado lipo na haiwaki mpka uchomeke adaptor Natanguliza shukran kwenu wanajf wote
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu! Nimenunua simu aina ya Infinix zero 4 plus. Nimeweka line na kuiwasha cha ajabu nakuta storage status inasomeka 16.56 out of 32 GB, nimedownload apps mbili tu inaniletea alert...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mtu aweze kunisaidia nipate firmware ya Sony xperia Lt26ii na jinsi ya kuinstall. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
624 Views
wakuu saluti.... naomba kujuzwa namna ya kuset sim ambayo kila nikipigiwa inapokea yenyewe.. natanguliza shukran
0 Reactions
5 Replies
2K Views
salama wakuu...? Awali ya yote ningepekenda kujuzwa ni app gani naweza itumia iniwezeshe kusoma vitabu/Document za kiingereza kwa lugha ya kiswahili. anayejua ni app gani Tafadhali nisaidieni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom