Wakuu naombeni mnipe ushauri. Ninahitaji kununua au kusukiwa inveter yenye uwezo wa utput ya 2000w, 50Hz.
Nimefanya survey inveter ya dukani ya uwezo uo itanicost zaidi ya 1.5m lakini ya kusuka...
Wadau nauliza ni app gani au computer program gani ambayo huwa inatumika kutoa maneno kwenye wimbo na kubakisha beats pekeyake.
Msaada plz ili niweze kuicheki kqenye app store au playstore
Habari zenu wana Jf.Naombeni msaada memory card yangu inaandika maandishi hayo hapo juu.Nasita kuiformat naomba msaada kwa yeyote anayejua namna ya kuirudisha sawasawa.Asanteni
Habar wana jamii wenzangu naomba mwenye utaalamu wa kunisaidia kuwa na watsaap application za watsaap mbili ndani ya simu moja....napenda kuwatakia eid Mubarak
Sim yangu ya samsung galaxy s5 inanipa ujumbe wa "unfortunately contacts has stopped" kila nik-click contacts.
Nimejaribu kui-format & reboot lkn tatizo likiasha kwa masaa kadhaa tu na kisha...
Waungwana, habari za usiku huu.
Imetokea wakati wa kufanya Installation ya Cumulative updates ya WINDOWS 10 ENTERPRISES.
Naomba ushauri wenu katika kutambua tatizo laweza kuwa ni nini na tiba...
Wataalamu PC yangu naona inasumbua niliwaachia watoto wakawa wanacheza gemu nadhani kuna baadhi ya files wamezidelete.
Najaribu ku install windo mpya inagoma.
See attached pic
Jaman Habari Wadau!
Msaada Hapa
Nimei Flash Vodafone VDF 300
Ilikuwa Network Locked Ya Laini Za Voda Tu!
Nimeflash Kwa SP Tools
Firmware Nili Download Firmwarefile.com
Tatizo Baada Ya Kumaliza...
Wakuu ninapenda kuuliza nini unaweza ukafanya kwa simu zinazotumia android mbali na huduma za mitandao ya kijamii? nauliza hivi kwa sababu unaweza ukakuta mtu ananunua simu kwa gharama kubwa then...
Nina hosted google adsence account (youtube only) nmefungua mwezi February 2017 kwa sasa ina Dollar 40$ (estimated earing) lakini katika Payment Threshold inasoma Dollar 0.06$.
Tatizo ni nini...
Habarini za mdahuu wanajukwaa,,,
naombeni msaada wenu natafuta App ambayo inauwezo wa kuconvert mziki wa midi kwenda Wav Au mp3, kwa Android au hata kwa kutumia Pc. Naomba kuwasilisha ombi langu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.