Wana Umeme, Automatic Transfer Switch ATS ni ipi Ni kiwa na Maana ATS inaweza Kutransfer load from one source of power to another whether Utility au Backup power Nataka Kujua Je ATS inapofanya...
Simu Za tecno Ndizo zinazoongoza kwa matatizo matatizo ya upande wa software and hardware mara haiwaki mara not responding mara betri idiscending wakat wa kuichaj badala ya ascending mara ichelewe...
Wakuu ninaomba kufahamishwa jinsi ya kutambua Samsung na iPhone ambazo ni fake maana kumekuwa na janga sana la simu fake mtaani hususani brand hizo mbili
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,mimi ni mpenzi wa simu za nokia(smartphones).
baada ya kutumia window phone kwa muda mrefu mwaka huu nimeamua kuachana na hii jela ya mateso(window...
Hv ushawahi kujiuliza kuwa una weza cheza fifa 17 pc game bila hata ya kuwa na hiyo fifa 17???
Hv mnajua kuwa akuna crack ya fifa 16, au 17???
Hv ushawahi jiuliza kuwa unaweza upgrade fifa yako...
Habari,
TCRA naomba watueleze kwa nini mtambo wao umeshindwa kuzitambua simu feki tajwa hapo juu? simu hizi Sony Z4,Z5 ni feki zipo kwenye soko muda mrefu, wapigaji wanaendelea kuziuza kama...
Habari wanatekinolojia
Naomba kufahamishwa namna ya kuondoa baadhi ya application ambazo zimekuja na simu (built in apps) mf facebook na zingine kwani naona zinachukua nafasi wakati sijawahi hata...
Kama kichwa cha habri hii simu ikivunjika kioo(vyote viwili) na ikabadilishwa (sio vipya ).
Sasa ikawa ina matatizo mawili moja ukipigiwa inajiweka katika loud speaker na anaekupigia hakusikii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.