wakuu heshima zenu
muda mwingi sana watanzania wamekuwa wakiihitaji kuingia katika soko la kimtandao dunia nzima but tatizo limekua ni kwamba option iliyopo ya online money transfer ni crdit card...
Habari za mida hii Wakuu, Wajuzi na wataalamu ndani ya JF....!!?
NAOMBENI MSAADA WENU JAMANI, Dogo katika kuchezea chezea Kompyuta (akijivinjari na Games) amejikuta AMELOKI KIBODI UPANDE MMOJA...
Nawasalimu Jf.
Kuna tatizo naona laptop yangu inakuwa nzito sana kuliko kawaida. Namaanisha inafanya kazi kwa speed ndogo sana kuliko kawaida yake. Halafu nikiwa mtandaoni inasumbua pia.
Kwa...
Hivi wakuu nikitaka kuunganisha receiver ya Q23Sat nitumie wifi au moderm nafanyaje!
Hapa kuna mambo mawili ya kujifunza
Jinsi ya kuunga USB Modem katika qsat
Jinsi ya kuunganisha wifi katika...
heshima kwenu wakuu ningependa tutumie uzi huu kuambiana game kali za pc ambazo zina support usb joystick as ina raha yake kutumia padi tofauti na keyboard:
1.pes 2013
2.fifa 2013
3.gi-game la...
Habar waba jamvi, nina sim yangu moja aina ya tecno M3, nikiiwasha haimalizi kuwaka inaishia tu kwenye neno tecno halafu inaganda apo apo, sasa kwa anaye elewa tatizo nn naomba anisaidie.
chief...
Nataka kuweka call barring for all incoming call na sms lkn nimeshindwa nimewacheki watoa huduma halotel wanazingua tu je code ni zipi kwa wenye maujuzi haya
jamani nmenunua sm kutoka tigo shop,sasa nataka iwe na uwezo wa kukubali line zote maana line moja inakubali tigo na line 2,inakubali line yoyote shida ni kwamba 3g,ipo line one tu ambayo ndo tigo...
Jumatano iliyopita nilisajili laini ya ttcl kwa wakala wa kwenye magari yao lakini laini ilikuwa inasoma emergency akaniambia badaeeee itasoma lakini taarifa zangu zinafanyiwa kazi lakini kimya...
Habari wakuu,
Nilikua naangalia live launch of One Plus 5 ambayo imefanyika mda mchache uliopita nchini China.
And kwa nilichokiona hii ndo inaweza kuwa simu bora kwangu kwa mwaka huu kutokana...
Jamani hii simu muda wote inaandika emergency calls only nimeona solution yake ni ngumu kuipata now natafuta saketi ya hii simu ni samsung ya korea ,naombeni mwenye saketi tuwasiliane popote alipo...
Hii ni simu ilikuwa ikiandika emergency cally only nilikuwa naflash then inarudi ktk khali yake lakini leo hii nimeiflash tatizo liko pale pale ,
Nimeweka firmware tofauti tofauti lkn ugonjwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.