Husika na kichwa cha habari hapo juu, nilikuwa na google adsence account youtube channel , baadaye nikapata wazo la ku upgrade wakaniambia lazima niwe na top domain nikanunua godaddy kisha...
Poleni na majukumu
Kwa wale wataalam wa app na programming nisaidie wapi pa kupata activation key za euro truck 2. na pia jinsi ya kupata na ku enable bluetooth kwa laptop yangu.
asanteni
Jipatie device za kucontrol attendance za wafanya kazi
150,000 kwa zile za USB disk tu
350,000 kwa zile za Internet na software
Ni pm kwa maelezo zaidi
Wanandugu Nina Shida ya Haraka i hope kuna wazoefu hapa sasa kesho nina Paper la Civil Engineering Drawings sasa ukiachana na kuchora kuna Mambo kidogo hatukuwekewa wazi kama ifuatavyo.
1.To find...
Katika pita pita nimeona hii website nimetokea kuvutiwa nayo sana ni website toka nchini kenya nahitaji niwe nafanyia manunuzi humu badala ya eBay msaada aliyewahi kuitumia anisaidie na ushauri...
Jaman nina simu tecno j8 mwanzo ilikua inakaa na chaj sana sasaiv kwa siku nachaaj ata mara 3 shida ni kwamba betri ake imetengenezewa kwa ndani jeh naweza kuibadl kuweka mpya
.
Nimeona mijadala mbalimbali ya ndege na baadhi ya changamoto za kutua au kupaa. Swali langu ni kuwa je kuna uwezekano baada ya ndugu kugusa ardhi ikaunganisha na kupaa tena. Yaani kwa mfano...
Habari zenu jamani natumia samsung ndogo lain moja nikaweka call barring ila sasa kila nikijaribu kutoa haitoki inaandika invald password msaada jaman plz mwenye ufahamu pz
Kwenye windows bonyeza Windows key + R , kitatokea kiboksi - we andika 'regedit' (bila kuweka ' ').
Itafunguka Registry Editor, sasa ingia na kuanza kutafuta hapa:
HKEY_CURRENT_USER\Control...
Habari zenu waungwana,
Kuna jamaa anauza Acer Chromebook 15 CB3-532 C47C kwa shillingi Laki 3.
Nimepata wazo la kuinunua. Naomba ushauri wenu kwamba vp kwa bei hiyo inalingana na thamani ya PC...
Mapinduzi makubwa ya teknolojia yamepelekea mambo mengi kufanyika kwa uhakika zaidi, unaweza kufahamu nyendo za mwenzako, mahali alipo na hata kufahamu muda husika bila ya yeye kufahamu.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.