Amani kwenu!
Natumia kisimbuzi cha StarTimes, hiki hakina channel ya Emmanuel TV. Nahitaji sana kuwa na hiyo channel. Nimesikia kuwa kuna watu wanaweza kuongeza channel kwenye kisimbuzi hiki cha...
Jamani naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kutengeneza android app(app) bila kutumia kompyuta, yaani kwa kutumia android yenyewe,mtandao,kwa apps.... Nk anisaidie plz
jaman naoomba kujua namna ya kufanya kwani jana jion nimeibiwa sim niliweka chaji sehem.
simu ni LG G5 ilikuw na line ya voda 076672326 ambayo mpaka mda huu inapatikana ila haipokelewi inaonekana...
Nina Blog yangu pia inaitwa QUALITY OPPORTUNITY NEWS Nashindwa jinsi ya kutengeneza pages (mfano ukiscrow hadi mwisho kuwe na Neno next au previous kabla hujafunguwa post moja wapo mfano...
Napenda kutumia MB zangu kudownload movieis za nje mpya lakin kila nikifungua tu zinakuwa ni za kulipia vile. Pili sijajua app nzur ya kudownload na bila kulipia. Kwa mambo ya kawaida mengine...
Nimeona kina tangazo linatembea kwenye mitandao kuwa kwa sasa zimeingia antena za tvfox yaani zenyewe zina channel free akuna kulipia hakuna kingamuzi na hakuna habari za cable wala dishi.kama...
Habari wakuu..
Mi nlikuwa na shida ya software ya kurestore data na files baada ya kuformat corrupted partition ya external hdd...ntashukuru sana km ntapata ambayo ni full version ambayo...
Google is not going to drop Java for Android. Google is going to drop Android. Google announced a new operating system that they have been working on: Fuchsia.
Fuchsia is an open source, real...
Habarini wana jf,nina PC yangu aina Dell lkn kila ukiingiza flash inasoma shortcut, lkn hata nikifanikiwa kukopi file lolote toka kwenye flash na kuingiza kwenye pc bado linasoma shortcut, msaada...
Wadau naomba mnijuze simu ipi aina ya Microsoft lumia naweza kupata kwa tsh 200,000 au chini ya hapo iwe na sifa zifuatazo ram 1gb internal 8gb au zaidi camera quality na battery inayodumu na...
Natoa network lock za mitandao ya nje kwa simu aina nyingi,kuna zile simu ambazo hazisomi mitandao ya Tanzania zinaingia kwenye hili kundi,
Naunlock icloud clean devices(only clean devices)hapa...
Hello JF,
Je, unahitaji system ya aina yoyote ile? Basi me ndo suruhisho la tatizo lako. Natengeneza system bureeee kabisa. If you are interested, please DM me.
Note:
Vigezo na masharti...
Hi Wanaforum. Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu mwenye uwelewa na hii topic ani pm ili tuzungumze nahitaji sana elimu juu ya hili jambo. Kama atapenda afundishe publick pia sio mbaya ila...
Wakuu heshima kwenu..naitaji msaada wa kujifunza software za simu..mf. miracle box<aladdin box>sp flash tool<najinsi ya kutumia roms vizuri..hali ni ngumu nataka nijiajiari..idea ninayo sasa ni...
Nafikiri taarifa kuhusu algorithm sahihi inayotumika na kampuni husika haiwezi kupatikana wazi katika mitandao.Bila kujali nitatoa mawazo niliyonayo juu ya topic hii.
Algorithms za Kutengeneza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.