Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mamlaka za Japani zimeshikilia kijana wa miaka 14 Osaka, mji wenye bandari kubwa, kwa kutengeneza na kusambaza kirusi aina ya ransomware. Hii ni mara ya kwanza kwa Japani kukamata watuhumiwa...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Habar wanajukwaa Kuna bidhaa ya microsoft naihitaji kununua Wapi naweza kupata official seller wa microsoft nikiwa Tz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamii, kwa yeyote mwenye kujua namna ya ku activate window 10 msaada wenu tafadhari.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
wakuu habari zenu naomba msaada wenu nina simu ya tecno c8 haisomi 3g ingawa eneo nililopo kuna 3g ya tigo na natumia line ya tigo nikitoka hapa nikaenda mjini inasoma 3g tatizo ni nini?simu...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Tafadhali mwenye msaada na jambo hili: Kuna pc hapa hp (laptop) ilikuwa inaleta BOOTMGR missing, press cntrl +alt+del to restart. Lakin kila nikifanya hivo ilikuwa inajirudia BOOTMGR missing...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalam nisaidieni,nilikuwa natumia wireless connection ya internet kutoka simu yangu Tecno M3 kwa laptop yangu kwa kutumia WI-FI lakini nashangaa sasa hivi inanigomea.
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Habari wana JF Nataka kununua bluetooth kwa ajili ya simu yangu. So naomba kwa yeyote ambaye anaufahamu kuhusu hiki kifaa anifahamishe.. Aina ya bluetooth...
0 Reactions
2 Replies
779 Views
sina na hela ya kulipia mwisho wa mwezi ila nataka chanel kwa tv yangu. je ni decorder gani naweza kutumia bila kulipia kila mwezi? c CHIEF MKWAWA
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana jf nina tatizo la simu yangu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo sema msaada tafazari
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wasalaam...Sijui kama kichwa changu cha Uzi kitakuwa kimeeleweka ila nilikuwa naomba msaada wa kuelekezwa Jinsi ya kutengeneza Kitu kama file ili nikiprint kiwe sawa sawa Yaani labda tuseme...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nina pc angu aina ya hp imeniletea BOOTMGR missing, press cntrl +alt +del to restart. Lakin nimefanya hivo inarudia hivohvo. Tafadhali mwenye ufahamu anisaidie
0 Reactions
5 Replies
695 Views
grup mpya bado ya mambo ya arduino kwa wauzajii hizi products, projects zake na mengine mengi tumia na share hii link Arduino4Us Forum Kwa tuanaopenda kujifunza, kuuza na kupata taarifa na project...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
SOFTWARE - COMPUTER SOFTWARE REPAIR AND MAINTANANCE
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Wakuu poleni na majukumu. Jana TV yangu ilianguka na kuonyesha mustari kwenye screen yake kama inavyoonekana. naombeni ushauri kama kioo kinapatikana pia mwenye nacho tuongee aniuzie Picha...
0 Reactions
2 Replies
682 Views
Wakuu nitapata motherboard ya Samsung Galaxy Note 3 kwa bei gani kama mtu upo na unayo unijulishe plz [emoji120]
2 Reactions
1 Replies
937 Views
Naomba msaada wa link ya kupata app nzuri ya kueditia video Km movie Nyimbo Harusi Nk. Ile rahisi kutumia na iwe free.. Ahsanten naomba kuwasilisha ombi langu mezani. Hp...window 7
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni rahisi tu, whatsapp inahitaji iOS 4.3 kufanya kazi na iphone 3G imeishia iOS 4.2.1 tu. Unaweza kubadilisha iOS 4.2.1 kwenda iOS 4.3 au ya mbele zaidi, kwa kuinstall iFile na ku-access files...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba mtujuze mliotumia hii simu inasifika kwa camera nzuri pia uwezo wa internet.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu Naomba kujuzwa huu utaaalam process yake inakuaje na nini Faida yake na kwa laptop ambayo inasumbua program ya wireless connection na USB linakua kimepona ? Karibuni mafundi wakongwe
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kampuni ya Apple imesema kua update watakayoitoa ya ios 11 itakubali kuanzia iphone 5s kupanda juu kwasababu Apple inaachana na mfumo wa kuprosess apps kwa kutumia 32bit.
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom