Habari wadau!
Natumia solar ya mjerumani walt 50 kwa zaidi ya mwaka, solar battery ya maji.
Cha kushangaza solar hii sipati umeme usiku, nikitaka kuchaji simu yangu na za watoto wangu inabidi...
Watafiti sasa wanaweza kuona jinsi gani ions zina ungana ndani ya Supercapacitors...na hii inamaanisha itabadili kabisa jinsi ya kuchaji vitu vya umeme.
Ni miaka 200 sasa tangu betri ya kwanza...
Kuna mtu nilimwachia kompyuta yangu aina ya lenovo kwa muda, lakini alikuwa afahamu matumizi vizuri akawa anawasha vizuri lakini kwenye kuzima kompyuta hiyo alikuwa anazima kwa kutumia sehemu ya...
Habari za jion wana jf
Naomba mwenye kujua nmna y kutengeneza mic y hii cm maana nkipiga simu kwa whassap or viber or imo nazungumza na mtu vizur n ananisikia ila tatizo linakuja nikipiga simu za...
Hatua za kuanza kujifunza Computer Programming.
Ndugu wasomaji,
Watu wengi wanashindwa kujua waanzie wapi kuanza kujifunza programming au wanawezaje kuwa programmers wakisasa, hivo nafurahi...
Jamani kama kichwa cha habari kisemavyo ningependa kuendelea kutumia simu yangu Samsung Galaxy Note3 ilifungwa na tcra nasiki upo uwezekano wa kuifungua na kutumia tena
Oya member naomba mniambie maujanja gani naweza kuyafanya katika simu yangu ikaonekana tofauti na ambavyo ilikuwepo ikiwa mpya?
Maana naskia mtu unaweza kuifanya simu yako ambayo inasaport 3G...
Darknet sio sehem ya kuuziana madawa ya kulevya ama silaha tu kama watu wengi wanavyodhani bali ni soko ambalo kuna bidhaa zisizo halali na zilizo halali Ndugu zangu wana tech, je kuna mtu amewahi...
Wana tech...naomba msaada ninaflash yang imegoma kuformatika...inaniandikia window canable to complite the format.
Nitumie njia gn ili kuformat flash zilisho shindikana?
Wanajukwaa wenzangu kwanza niwasalim kwa jina la Mungu aliye hai.Walioko katika mfungo wa mwezi mtukifu wa Ramadhani
RAMADHAN KAREEM
Nina sim yangu Tecno w3lte inanichanganya hapa.Nimeweka...
Amani iwe kwenu
Nimewekeza kwenye biashara ya stationery kiasi fulani inalipa ,ila nataka kujitanua zaidi
Naomba anayejua ni programu gani(soft ware inayotumika kutengeneza vitambulisho kwa...
wakuu samahanini natumia tecno G9 na tatizo nililonalo ni simu yangu kwenye app ya facebook haina sehemu ya GO LIVE pamoja namimi ku update imekataa najiuliza kwanini?najua humu hakishindikani...
wadau nahitaji fundi anaeweza kurepair na kufanyia service Photocopier machine aina ya Cannon na Toshiba yeyote anaeweza ani PM kwaajili ya mawasiliano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.