Wadau! PC yangu battery haipokei moto, yaan umeme ukikata na PC inazima utadhan desktop.
Nashindwa kuelewa ni battery aw ni tatizo jengine tu tofauti. Kwa nnavofaham battery ikifa huwa kuna...
habari wadau natumia jelly bean version 4.2 ni rooted nataka ni upgrade kwenda version 4.4 kitkat ama v5 lollipop ama hata v6 mashamelow ikiwezelana msaada pls
Wakuu naomba kuuliza inawezekana nikarekodi video screenyangu ya simu? namaanisha naangalia event live online kisha nairekodi wakati nikiwa naiangalia, inawezekana? na ni program gani au simu ya...
Ningependa ku share game fulani nilikuwa nikitengeneza, japo bado haijakmilika nina mpango wa kuiendeleza with time. kwa wale ambao wanaona wanaweza kusaidia development nawakaribisha sana.
Here...
Laptop yangu Dell XPS L502 X, Core i7
Inaniletea message kuwa Hard Disk (Toshiba) ina matatizo. Na imekuwa slow sana wakati wa kuiwasha na kuitumia. Ninatafuta technician ataerekebisha haya:
-...
wakuu ! external drive aina ya transend imekua very slow kucopy files, file la gb 1 inachukua karibia nusu saa kucopy...nimeformat ila bado tatizo ni hilo hilo ! Msaada tafadhali..
Clean Chrome of Unwanted Ads, Pop-Ups, & Malware.
If you're seeing some of these problems with Google Chrome, you might have unwanted software or malware installed on your computer:
Pop-up ads...
Ni wazi kwamba kutumia https(ssl) kwenye website yako inakuwa ni vigumu sana kwa mtu kuweza kudukuu data baina yako wa watembeleaji wako kwenye website.. Ila Kuna Faida nyingi zaidi ya kutumia...
Hivi iphone kwanini zinauzwa bei kubwa sana huwezi linganisha na simu za android kipi utakacho kifanya kwenye simu ya Iphone kisicho kuwepo kwenye simu za androd kama ni mawasiliano yaleyale mm...
Habari wana JF, Mimi naitwa Amani natokea Forum ya Teknolojia lakini leo nakuja kwenu kwa heshima na taathima nikiwa naomba msaada kwenu madaktari pamoja na watu wengine wote wenye mapenzi na...
Salama wadau
Nina nia ya kusoma kozi ya Certified Information System Auditor(CISA). Nataka kujua Mahali zinakotolewa Review class na gharama yake kwa DSM
vilevile na gharama za Mtihani.
Granted, it'll likely be years before any real conclusions can be made, let alone actual faster-than-light tests - not to mention that accelerating matter and accelerating light are two entirely...
Umeme ulikatika jana baada ya kurudi nikawasha nakutana na ujumbe huu kila nikijaribu naona mzigo umegoma hapa tatizo nini wazee wezangu naombaa msaada wenu kama picha inavyo onesha CPU NI DELL...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.