leo wakati najiunga kifurushi tigo nikaona menu mpya ya vifurushi vya whatsapp
1000 kwa wiki
2000 kwa mwezi
kwa ambao wanavitumia ni unlimited? unaweza kudownload picha na video au ni...
wakuu, nahitaji kununua tv LG smart 43' naomba mniokoe kabla sijala hasara make nategemea itanitoboa mkwanja mrefu. je nitumie maujanja gani nisibambikwe tv fake?
Habari zenu wana jamvi naombeni msaada kwa anaejua jinsi ya kuanzisha APP ya wafanya biashara kama vile kupatana.com naomba kujua jinsi ya kuendesha hiyo app na pia naomba kujua ni faida gani...
Habari wakuu,
Hivi ni mitandao mingapi hapa Tanzania ishatoa API zao kwa developers kuzitumia?
Nitashukuru kama mtanipa na link za wapi pa kuzidownload. Thanks
Wakuu habari,
Siku hizi kuna simu nyingi sana ambazo ni clone ya simu original, nyingi ikiwa ni za samsung... Juzi kati niliona moja ambayo ni ya samsung galaxy note 3, nilishangazwa kuona jinsi...
Mbinu ya 'Mouseover' inategemea watumiaji (users) kuhover juu ya maandishi & picha zenye hyperlink, kwenye mafaili ya Microsoft PowerPoint ili kuingiza Trojan.
Shambulio la Mouse Hover...
Biashara nyingi duniani zinaendesha kwa propaganda.
Kwa mfano Samsung s4 ukiisoma kwenye mtandao wanakuambia inakaa chaji masaa 17 kama unaongea na mtu.
Lakini tukija kwenye uhalisia hiyo simu...
Leo nilikuwa najaribu kutembelea baadhi ya tovuti za serikali na moja ya tovuti ambayo nilitembelea ni tovuti ya utumishi wa uma, nilichokutana nacho huwezi amini kama hii tovuti inamilikiwa na...
Kuna ulazima wowote wa ku download na kutumia launcher kwenye android. Na kunafaida gani ukitumia.Je android inahitaji antivirus & cleaner app kama ndio faida yake nini na ni app gani zinafaa.Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.