Nina shida na display ya Tecno W5, simu yangu imeharibika display so kama kuna fundi anaweza kufix tatizo hili anijuze bei ya matengenezo na sehemu alipo but iwe within Dar-es-salaam.
Wakuu msaada kwa anaefahamu TTCL mobile (CDMA) internet settings.
Nina router inayotumia CDMA sim card ambayo haikutoka TTCL kwa hiyo haina settings.
Kama una modem ya USB unaweza kuzipata...
Wadau habarini za muda.
Naomba msaada wenu kwa wiki moja sasa nashindwa kuangalia chochote youtube, inanijibu connection to server is lost. Msaada wa haraka jamani kuniokolea jahazi hili wadau...
Habari zenu wadau wote wa JF, poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Samahani kwa usumbufu wanachama wenzangu wa Jamii Forums ila naomba kufahamishwa ni application ipi nzuri kwa kupata sim ilioibwa...
Habari.
Hii application nime download, ipo katika simu yangu na nimejaribu kuitumia sioni mafanikio. Je kuna mtu amfanikiwa kutumia application hii anipe uzoefu.
Thanks
Baada ya kupokea Simu na PM nyingi watu wakiomba Settings za Mitandao mingine kam niliyoitaja hapo chini nimeona nishare nanyi jinsi ya kupata hizo settings ambazo zitakufaa kulingana Mtandao...
Wakuu habari za leo.
Ninaomba msaada kwa wataalamu wa haya mambo mliopo humu jamvini mnisadie kunfahamisha jinsi ya kuflash/unlock HSPA USB Stick (modem/mobile broadband) aina ZTE
Hii ni smartphone ya Halotel ambayo nilinunua mwanzoni mwa mwezi wa 12/2015 mpaka leo naitumia uzuri ukiipiga charge ikawa full unaweza naenda nayo hadi 3 days huku ukitumia internet ndo battery...
Habari jaman
Nna tatizo katika simu yangu yaani kila application nayoinstal inagoma inaniambia parsing error problem package ...nmefanya hadi factory resert still yaleyale nfanyeje jaman???
Nina tecno yangu L5 nilikuwa nimesahau pattern nikawa na reboot nikahold volume na power off batani saiz inaniandikia fastboot method ndo imeganda hapo hapo naitaji msaada tafadhali
Habari wakuu,
Kuna iPhone 4s inazngua ukimpgia mtu akpokea humsikii na hata yeye hakusikii, ila cha ajabu nkitumia whatsApp call inaongea fresh tu na tunaskilizana'
Kuna mtu alinambia tatzo...
Salaam zenu wana jf naomba mwenye utaalamu na uelewa wa faida na hasara katika utumiaji wa software inajulikana kama enterprise resources planning(ERP) kwenye matumizi ya biashara ndogo na za...
Salaam wadau...
Nilinunua tablets online from somewhere ulimwenguni...
Ina display safi, internal memory 16GB, main memory 1GB
Problems
1) Ina load slows na ku crash often times pale unapo...
Have you ever heard the terminology?..is there any sense you acquire when you come up on it ??
It is good whatever you do about it.LOGISTICS is applied in every day of our life,and good enough is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.