Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Sim yangu aina ya Tecn-w3 imejifunga simcard no 1,nimejaribu kuingia kila eneo kwenye settings lakini nimeshindwa kugundua tatizo ni nini,airplane, mode zimefungwa,lakn line 1 haisomi,naombeni msaada
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Jaman nina simu tecno j8 mwanzo ilikua inakaa na chaj sana sasaiv kwa siku nachaaj ata mara 3 shida ni kwamba betri ake imetengenezewa kwa ndani jeh naweza kuibadl kuweka mpya <br />.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba kufahamishwa jinsi ya kutambua version kwenye computer na jinsi ya ku update version. Pili jinsi ya ku install Ward na VLC player Thank guys
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi habari, Naomba kufafamishwa kuwa naweza kuangalia channel hii ya ZBC 2 katika Tablet (Cm) yangu? Kama ndivyo, nifanyeje? ASANTENI.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, nina kimeo changu hapa tecno-L8 nahitaji kukifanya rooting. Naomba wa namna ya Kufanya
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Wakuu habari za mchana samahani kwa kuwasumbua ni hivi katika pilikapilika za eid mosi mnamo jumatatu nimeangusha simu yangu samsung galaxy s6edge plus.Nataka nijue je kuna uwezekano wa kuipata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani Leo nimeshuhudia live kua mawazo ni mabaya Sana Nilikua nawaza kununua Sim lengo nipate aina bora Sasa nishaurini Wakuu wazee vijana wenzangu. Kati ya hizo nikabebe Ipi?
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Samahani wadau naomba kuuliza je dikoda za antena za startimes zinaweza kufanya kazi na madishi ya zuku. tafadhali mchango wako ni muhimu.
2 Reactions
7 Replies
2K Views
nisaidieni namna ya kuactivate window bila kununua, window ilicorrupt nikapiga nyingine sasa wananiambia inactivate ni window 10 Pro. Siwezi kuinstall program yoyote zinakataa au ilo ni tatizo...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwa mahitaji ya king'azi vya aina zote kufunga dish(installation) kufunga tv ukuta(tv set up) kurudisha signal zlizopotea Tupo Magomeni Mapipa kwa maelezo zaidi 0652170490
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Habari wanajamiiforums nina mota ambaye inatumika kwemye single phase na ina rpm 2800 (mizunguko 2800 kwa dakika). Nataka niitumie mota hiyo kwenye mashine ambayo yenyewe inahitaji mota iwe na...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Nataka na natamani sana kuwa software developer na kwasasa najifunza C programming language naombeni muongozo wenu wa namna au hatua za kutengeneza software nataka nianze kutengeneza SIMPLE...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection...... Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kutengana Na Mwili Wake Ki Fikra Katika Imani Husemwa Kiroho... Utokaji huu wa nje ya mwili upo wa aina mbili au tatu na wenyewe ni wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Nina Tablet ya HUAWEI inatatizo la kutokujaa chaji, Pindi niiwekapo chaji ikifika kwenye asilimia 52 kiasi cha chaji huwa hakiongezeki tena , Msaada wakuu Jinsi ya kuirekebisha.
0 Reactions
3 Replies
577 Views
Wakuu msaada wenu Juu ya app ya music powerap nimekuwa nikitumia lakini ina isha baada ya wiki 2 sasa nimeipenda sana lakini sijawahi kununua wala Sina acount ya PayPal zaidi ya Tigo airtel pesa
0 Reactions
8 Replies
807 Views
Habarini ndugu wananchi..... Mtandao wa kijamii Telegram(wenyemfanano na Whatsapp) unakumbana na kesi yakuhusika na mlipuko uliotokea huko Urusi..... Vikosi vya ulinzi vinautaka mtandao...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau naomba msaada kwa dar wapi nitapata betri nzuri kwa Samsung note 4 niliyonayo haicharge tena yani unakuta ipo full lakini ukiwasha haiwaki kabisa. Nikijua na bei itakuwa vizuri sana.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenye nayo ani pm Please!
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Habari zenu wana Gadgets!, Poleni na majukumu yenu ya kila siku! Dhumuni au lengo la kuandika uzi huu ni kuwa risiva yangu aina ya Srt 4663x ilipigwa na radi ikaunguza Ac na kusababisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua nafanyaje ili hyo modem iweze kupokea na kuniwezesha kupga simu.
0 Reactions
1 Replies
632 Views
Back
Top Bottom