Dailynews naomba rekebisheni hii kitu maana inawaweka kwenye nafasi ya kudukuliwa.Mtu akifungua website yenu kuna hii error inatokea
Deprecated: preg_replace(): The /e modifier is deprecated, use...
Wakuu heshima kwenu.
Nina sumsung galaxy note 3, SM-N900S, ni wiki ya pili sasa imekata mtandao na sababu kuu ni kutokusoma kwa imei namba maana inaandika 00000.
Nimetazama video nyingi...
Zikiwa zimebakia siku chache kuondoa simu feki Tanzania; huku zoezi hili likitazamiwa kuathiri mamilioni ya watumiaji wa simu za mikononi nchini kote, kampuni nguli ya utengenezaji wa simu za...
Wakuu nataka niroot hii simu ya kampuni ya vodacom ambayo naitumia kwa ajili ya kukamilisha usajili Wa line zao, maana android zote zinazopita mikononi mwangu lazima nipige root ndo nitumie. Vipi...
Habari wakuu,
Nimemaliza bachelor ya HR hapa Mzumbe lakini naona kama si kitu, napenda nataka kuchukua degree nyingine ila iwe challenging hasa katika maswaala ya computer techonology.
Kifupi...
Habari Jf member,
Napenda kuuliza ni wapi ntapata simu aina za blackberry bold 9930 au 9900 kwasasa nipo Tanga. Naomba mnijuze bei ya kuanzia au mahala zinapopatikana kwani naweza sogea Arusha au...
Habari zenyu wadau!!
Naombeni mwenye ufahamu kuhusu ubora na ufanisi wa huduma za selcom anijuze..
Naskia ukiwa na machine ya hawa selcom,kama max malipo,unarusha vocha mitandao yote,unauza...
Wakuu habari Ku declare interest Mimi ni mshamba wa iphones ni android user je iphones zina glass screen protectors coz watu wengi wa iPhone unakuta simu ina crack so tusaidiane pia costs zake...
Russia jails hacker for spilling top government officials' secrets
MOSCOW — After a two-day trial conducted behind closed doors, the Moscow City Court on Thursday sentenced Vladimir Anikeyev...
Wakuu pole na majukumu
Mimi ni blogger, mara nyingi wengi wetu tunatumia sana mitandao ya kijamii ikiwa kama ni njia ya kutambulisha/kusambaza habari zetu tunazokuwa tunapost lakini wakati...
Natumia simu aina ya Lenovo
Lenovo A6000
Version 4.4.4
Baada ya kudownload movie au vitu vyengine wakati wa kutaka kuvihamishia katika PC kwa kutumia simu tajwa halo juu zoezi linakua gumu na...
Habari za wakati jamaa na marafiki..
Mimi nilikuwa naomba ufafanuzi juu ya swala la Android ,Window phone , IOS na mengineyo
kiukweli hayo maswala Mimi binafsi huwaga siwezi kutofautisha..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.