salama wakuu? mimi nina logo yangu ambayo nili i design kwenye adobe illustrator nkaiprint kwenye plain paper. napenda kufaham sehem hapa dar ambayo nitaweza kuiprint hii design into tshirts na...
SIM ZA TECNO ZINA MATATIZO BALAA
Kama ulishawahi tumia smart za tecno lazima ulishawahi kutana na moja au yote matatizo yafuatayo .na utakuja kugundua utofauti kama nawe kwa sasa unatumia smart...
Habari za muda huu wakuu! Naomba msaada na ushauri juu ya Software nzuri zaidi ambayo ni user friend pia ya ku-recover picha zilizokuwa deleted ama zilizopotea baada ya ku-reset simu.
Ukitupia na...
Wakuu naomba kufahamu kwanza,,mimi natumia simu inayosupport line ya voda tu,,sasa je nikitumia ile huduma ya kuhama namba bila kubadilisha line,,je simu hii itaweza kuendelea kusupport huo...
jamani nilikuwa naomba kuuliza kwa wataalamu wa haya masuala na yeyote mwenye ujuzi kwamba inawezekana kuhama kimfumo kutoka kwenye simu inayotumia android kuibadilisha iwe inatumia windows phone...
Nataka kwenda kuweka window sielewi nikaseme vipi kwa fundi mwenye uwelewa a nisaidie Hapa.. Natumia window 7 aina ni Dell.. Ila Naona hafanyi Kaz Sawa
Walaghai(hacker) kutishia kufuta mamilioni ya akaunti iCloud kama Apple haita lipa pesa kufikia 7 Aprili 2017.
ina semekana kuna taarifa zimeripotiwa kuwa wanadai kiasi cha dola za...
Habari zenu wakuu jamani najaribu ku update simu yangu lakini nakutana na ujumbe huo hapo chini na simu yenyewe ni second hand hivo sijui modifications gani zilifanyika
Imepita miaka 17 toka kampuni ya NOKIA itoe simu yao model ya 3310, mtaani ilifahamika kama NOKIA jeneza, hahahaaaa.
Nilipitia siku za nyuma nikakutana na new model ya toleo la Nokia jeneza, hii...
kampuni ya whats app imeongeza uhondo wa status ambapo sasa status inakuwezesha kuweka picha, video au GIF na pia inakuwezesha kujua nani alio view status yko.
Ili mtu aweze ku set status...
Jamani mm naongea kutoka moyoni kabisa nilitokea kuipenda iphone ikiwa mm ni bingwa wa simu za android kwakweli nilitamani niiludishe alafu nipewe simu yeyote ata tecno powa simu yangu ilikuwa...
Habari zenu wakuu.
naomba kufahamishwa ni wapi ndani ya jiji la dar es salaam nitapata fundi wa uhakika anaeweza kuflash tablet za android hasa chinese tablets.
Asanteni.
Habari zenu wanaJF,
Kwa heshima na taadhima, naomba mfungue hiyo attachment/clip ikionesha LAPTOP yangu HP 620 namna inavyo behave.
Naomba mnisaidie namna ya kutibu tatizo hilo, na ikiwezekana...
Habari wadau!
Mimi ni mtaalam mbobezi katika masuala ya IT;
Katika hali ambayo wengi hamuijui leo naomba kuwajuza!
"Kuna akaunti nyingi sana nimezichunguza kwa utaalam wangu kuhusu mambo haya...
Wakuu mambo zinaendaje?
Msaada kwa mwenye kujua, simu yangu samsung note 3 haipokei wala kutoa kitu chochote kinachohusian na whatsaap yaani message, picha wala video kama ntakonnect na mobile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.