Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Download app ya type n walk kutoka playstore na utaweza kuandika sms na kuchat ukiwa unatembea bila shida yyte,ukiwa unaona vitu vya mbele yako
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Pk
0 Reactions
1 Replies
341 Views
Habari wakuu Nina samsung s5 sm g900f ina android 4.4 bado nataka kuupgrade kwenda android 6.0 naomba msaada jinsi ya kuupgrade kwa anaefahamu tafadhali
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Wadau habari zabmuda huu, nimekuwa nikitafuta free template nzuri hasa ikiwa very responsive kwenye matangazo . Naombeni mnitajie na link zake kama inawezekana. Asanteni sana!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wazee waungwana Mimi namba zangu karibu zote sizioni hasa baada ya kutumia GB WhatsApp kati ya na 400 na kitu zilizopo sahvi ni 111. Mwenye ujuzi tafadhali Niko stranded mno. Namba huwa nasave...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I have started my carrier as programmer. Nina siku chache tu toka nimeanza sasa nimekutana na hii task nahitaji mtu anisaidie. How do I go about it? Task description A zero-indexed array A...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Unawezaje kubadili vision ya cm ambayo ipo rooting system mfano yangu ni h6 je kunauwezekano na kama upo ni njia zipi hzo
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Kutoka android 4.4.2 to android 6 kwa malipo tutakayo mkubariana
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Salaam wakuu, Kuna Mtu kaomba Msaada WA simulation kwangu kwamba anataka kusoma email take, kwa upendo nikampa, baadae nimekuta amefoward calls zangu kuzifoward kwake, nahisi amefanya zaidi ya...
1 Reactions
5 Replies
710 Views
Habari wakuu ninauliza kwa wadau wanaotumia hizi Tecno w4, je zinauwezo wa kutumia internet ya 4g! Kwa sababu huwa ninakutana na majibu tofauti mengine inaonekana uwezo huo hazina mengine uwezo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wakuu, nahitaji msaada wenu. nataka kujua makampuni yanayo toa service ya data center Zanzibar
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale ambao wanajua mambo ya uchenjuaji madini hasa dhahabu, wanajua jinsi gani ambavyo technologia ya vat leaching ambavyo ilivyoshika kasi. Basi Uzi huu upo kushirikishana changamoto...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam wataalamu! Cheki hizi Python code ... def print_two(*args): arg1, arg2 = args print "arg1: %r, arg2: %r" % (arg1, arg2) def print_two_again(arg1, arg2): print "arg1: %r, arg2: %r" %...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Msaada jaman nina memor yang 8gb ukiingiza kitu hakiingii ukiiformat inakuambia "This device has protected" msaada jaman nifanyeje kuondoa hiy protector
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Ukisoma geography kuna picha huwa zinaoneshwa hasa mpangilio wa sayari ulivyo nauliza swal ni chombo gan kilitumika kupiga picha sayar zote tisa kwa pamoja na kujua mpangilio wake ulivyo na...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
www.modussu.blogspot.com Kwa wataalam nataka nitoe kazi ya malekebisho iwe official
0 Reactions
3 Replies
916 Views
Heshima kwenu wakuu wataalam wa hizi kazi, kwa siku za hivi karibuni nmeanza kuliona ona hili neno "Artificial Intelligence" kwenye post, articles na sites mbali mbali za kiteknolojia nyingi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Hello colleagues! Mimi ni mwanafunzi ninatakiwa kufnya research na nimeambia nitumie SOFTWARE iitwayo SPSS kwa ajili ya analysis. Je hii software inapatikana wapi? Asanteni
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Wapendwa najaribu kufungua cm yangu imelock na yote sababu kubwa nimeweka pattern na nimesahau sasa imelock nifanyeje
0 Reactions
3 Replies
815 Views
Wajuzi wa tech naomba msaada wenu hapa nimeweka creen unlock pkn nimesahau patten zenyewe na endapo itazima sitakuwa na namna hapa nimeweka dkk30 ndio inaweza kuzima naomba msaada wenu.
0 Reactions
3 Replies
931 Views
Back
Top Bottom