Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari za asubuh wataalam , Mimi sio mtaalam wa maswala ya website na Domain, Nimenunua Domain kwenye moja ya kampuni za kitanzania, niliwaambia wanipe unlimited size kwasababu project yangu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ninaomba wataalamu wa IT.. mnisaidie hapa. Kila ninapotaka kuongeza au kuondoa file kwenye flash yangu Aina ya Twin Mos, inakataa kwa kuniletea ujumbe... This devise is write protection. Na kila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simu yangu tajwa hapo juu nimekumbana na tatizo la kuwa na mwanga mkali yaani hata nipunguze vipi bado macho yanaumia kutazama pia ukifungua app kma whattsapp inaonyesha kupauka sana tofauti na...
0 Reactions
1 Replies
689 Views
Jamani iam engineering student i need your help which is better for me kati ya desktop na laptop ili ku acces better service ya hivo vitu kama gaming CAD na mengineyo. Ahsanteni
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Salaam sana wapendwa, Niliupgrade program ya macbook ili nipate version mpya, niliporestart computer ina request password kisha ina load program lakini haifiki mwisho. Niliiacha siku nzima bila...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cm yangu ina kawaida ya kufuta majina kwenye contact list hasa yale ambayo natumia sana
0 Reactions
4 Replies
671 Views
Wadau mambo VP?!??nlshadodosewa kuwa wapo wataalamu Wa IT ambao wanauwezo kuunganisha simu kwa simu. Simu ya 1 ikatumika kma camera na sm ya 2 ikatumika kma computer. Na hii inaunganishwa bila...
1 Reactions
34 Replies
11K Views
Habarini wakuu Samahana kwa anaye fahamu tatzo ka MTU kushindwa kupokea meseji za kawaida kwenye cm hata nikiangalia salio sipati meseji ya ujumbe pia hata nikitoa ela mpesa ela kule inafika...
0 Reactions
34 Replies
26K Views
Poleni na majukumu wajuzi wa mambo Naombeni unijuze jinsi ya ku truck namba ya mtu vitu kama sms, location ikiwezekana na voice call Asanteni
0 Reactions
18 Replies
22K Views
Namaanisha ile una audio file yako kisha kisha una enaweka picha then inakuwa kama video inayoweza kuwa uploaded Youtube Naitafuta hii program wakuu kwa anayejua plz..ambayo haiuzwi Ni kwenye...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Napenda kutanguliza heshima zangu kwenu..naomba msaada Kwa aliye Na ujuzi anielekeze au anisaidi kuweka hizo app ambazo hazipo AppStore ya iPhone.tunaweza kulindana.....Asante Sanaa kwa msaada...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Habari!wakuu ningependa kujua zaidi juu ya digital tv kwa tv kama lg na samsung kwa channel za kitanzania na nje ya tanzania na ni jinsi gani ya kuset,Nawasilisha kwenu.
1 Reactions
3 Replies
988 Views
Wanajukwaa naombeni msaada wa kuifanya modem yangu iweze kuwa na option ya call na ussd , Yani kila bando linapokauka inabidi nichomoe laini kwenye modem niiweke kwenye simu ili niweze kuingiza...
0 Reactions
3 Replies
994 Views
Kwa watu wa software samsung j7 frp imentoa jasho nataka kuremove imegoma... Nmetumia cracks za miracle zimefail... Nmejaribu na njia ya otg pia zmegoma.. Youtube nmeangalia but all solution...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
577 Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mahakama kuu uingereza imepitisha maombi ya ligi kuu ya uingereza ya kuzuia mbinu za kutizama soka kupitia vyanzo vya internet wa mfumo maarufu wa kodi set-top boxers,wadau hii imekaaje!
4 Reactions
29 Replies
4K Views
tecno j5 after full flash with romkingz file imezima......nmedownload ya hovatek imefail kutembea inasema boot phone ack error... msaaada jaman kwa wajuz
0 Reactions
5 Replies
973 Views
Jamani anayejua kufungua website anisaidie nitamlipa nimesoma html [\color] nimemaliza sasa nataka kufungua website yangu Unaweza kuni pm au ukanicheki kwenye gmail yangu allykitupe@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu jameni. Naulizia mtu anayeweza kurecover HDD iliyogoma kufanya kazi. Ukiiweka kwenye computer haionekani, ilikuwa na data 1.2TB. Ni kampuni gani inayoshughurika na hiyo kazi hapa Dar?
0 Reactions
6 Replies
776 Views
Back
Top Bottom