Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hivi hizi simcards (chips) zinapatikanaje? Zinatumika kwenye simu za kawaida au kuna simu maalum? Naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu wa jambo hili
2 Reactions
47 Replies
11K Views
kama kuna teamleader wa HALOTEL humu naomba msaada wa file la usajili namna ya kulifungua kuna jamaa kanitumia ila maelekezo kanipa namba zake ila bahati mbaya wakati anabofya hazikutosha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji kununua cm moha wapo kati ya hizo ila bado nipo njia panda bahitaji ushauri wa kuu
0 Reactions
90 Replies
13K Views
Dah wadau naomba msaada wasap hii update naona ngumu kwangu kutumia Naomba mnielekeze jinsi ya kirudisha ile ya zaman kwo yeyote anayeweza naomba msaada
2 Reactions
66 Replies
10K Views
Wakuu naomba anayefahamu zilipo LG service centre anielekeze,radi imenitia umaskini wa Tv na Home theatre yangu hata mwaka havina
0 Reactions
3 Replies
670 Views
ifahamu siri iliyopo kwenye whats app sasa (android) jiunge na whats app beta kupata extra features na update za ukwel on time.
6 Reactions
41 Replies
7K Views
mhali gani wadau. nilikuwa napenda kujua ni jinsi gani naweza kuboost page ya facebook kwani kila napojaribu naona kuna sehemuza kujaza zilioandikwa YY mara DD nini maana yake ?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba maelekezo ya kitaalamu kuokoa pc iliyoingiliwa na maji.
0 Reactions
4 Replies
953 Views
Nahitaji msaada kwa anaeweza kunisadia au kunipa maelekezo jinsi ya kuanlock hii simu Nimeitumia kama 10 months lakini kuanzia jumapili nimeamka inaomba Network unlock code
0 Reactions
1 Replies
761 Views
Habari wakuu ? Naomba ushauri wenu juu ya website hii ya e commerce. niliyodesgn kwaajili ya drop shipping business ya bidhaa ndogondogo kutoka china. vipi muonekano wake na urahisi kwa watanzania...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
wakuu salamun Naombeni mnisaidie jambo moja kuhusu PayPal, nilikuwa najisajili lakini nikajikuta nimeandika jina LA mkoa badala ya jina LA wilaya inamaana Kama nitanunua chochote basi kitatumwa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Msaada wakuu..! Kwa yeyote anaye fahamu jinsi ya ku_purchase mzigo eBay eg. Mobilephone, nawezaje kuepukana na mataperi na pia kuweza kupata kitu ambacho ni Og..kwa anayefahamu nitashkuru kwa...
0 Reactions
2 Replies
530 Views
wakuu habar zenu...naombeni mnipe njia za kutoa loki katika simu ya huawei y530 ili isome mitandao mingine..kwa sasa ina soma laini ya tigo tu
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Wakuu nilikua naomba msaada wenu kma kichwa cha habar kilivyoeleza apo juu nilikua naomba kujuzwa kwa maana nimetafuta sana wenye nayo au anayeijua atusaidie apa
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini.. naomba kuuliza kuhusu hii issue ya kucopy na kupaste katika simu... hivi ni kwa muda gani ulichokikopy kwa kutumia kidole chako unaweza kaa nacho kabla hujapaste?...halafu pia...
1 Reactions
4 Replies
984 Views
habarini za asubuhi vijana wangu naomba msaada wa haraka sana nataka nitengeneze email proffesional kwa mfano jack@doctor.co.tz nafanyaje wadau nahitaji majibu sasa hivi na kama kuna watu unawajua...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
HUAWEI Y330, IKO LOCKED SIM ONE NA TIGO TU NIPENI CODE WADAU Unlock codes
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Naomba kuelimishwa namna ya kufungua paypal account....napata tabu saaana kufanya malipo ya ununuzi wa programs za software
0 Reactions
2 Replies
615 Views
Kwa wale wataalamu wa mambo yetu ya GRAPHICS nimefanya installation ya ADOBE PHOTOSHOP both CS5 AND CS6 lakini sioni ile option ya 3D. Nimejaribu kutafuta solution nakakutana na application ambayo...
0 Reactions
0 Replies
528 Views
Wana jf natumia simu aiana ya Samsung galaxy ji tatizo lake ni kwamba nikitumia mitandao ya kijamii kama instagram,simu inaandika kwamba storage imejaa hata kama kukiwa na memory na hali hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom