Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mwenye screen touch ya HTC one xl tafadhali anijuze, taja bei
0 Reactions
0 Replies
398 Views
Black holes are the source of endless fascination and speculation. Do they hold the secrets of the universe and perhaps even the key to time travel itself? We may never know the answers to...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba munisaadie app ya kuiwezesha MacBook kuwezesha kusoma Androids phone kwenye macbook
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Habari bandugu. Nina simu ya kutoka msumbiji aina ya Movitel ukiweka laini za Tanzania hazifanyi kazi. Ninatumia laini za Vodacom Tanzania wala haisomi,msaada wana-IT.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
wanajukwaa naomba msaada wa password kwenye hii game.. flight simulator X deluxe.. kila nikijaribu nashindwa kuzipata.. msaada tafadhali..!
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Habari wadau, Nimekuja hapa kupost my experience with a fraud web developer na kama kuwapa caution wengine. Kuna watu wanajifanya ma web developer lakini ukimpa kazi anaanza mizungusho. Kuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, kuna mtu humu ndani anafanya web hosting kwa kutumia sentora panel. Naomba tuwasiliane kama yupo au unaemjua.
0 Reactions
4 Replies
911 Views
Kwa ufupi mimi na-deal software za simu sana sana kuflash simu kwa hiyo nina uzoefu mkubwa, nipo pale Kariakoo kwa hiyo ningependa kusikia swali lolote toka kwenu wadau. ========== Hizi ni sababu...
1 Reactions
95 Replies
17K Views
Nahitaji kufanya shipping ya Parcel(spare parts ya simu. screen display+ battery) kutoka texas usa kuja bongo kwa mwenye uzoefu. Ipi ni njia rahisi ama best shipping company ambayo naweza kutumia...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nna shida na desktop za core i5 na core i3 second gen. My budget ni 300k mpaka 350k.
0 Reactions
5 Replies
744 Views
Heshima zenu wakuu. Tafadhari naomba wajuzi wa teknolijia hii mnisaidie kujua ubora na bei ya smartphones zifuatazo. Najipanga kupata mojawapo baada ya kupata ushauri wenu maana sijawahi kumiliki...
0 Reactions
163 Replies
76K Views
Source: Techradar. Nokia is back. The Finnish brand is once again adorning smartphones and at MWC 2017 it took to the stage to reveal its first three devices: Nokia 6, Nokia 5 and Nokia 3. All...
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Habari wakuu, Naomba yeyote mwenye computer yenye GPU tuwasiliane anisaidie kuna software natumia lakini sina GPU kwenye laptop yangu kwa hiyo sipati results nzuri kwa kutumia CPU peke yake. Kama...
0 Reactions
3 Replies
915 Views
*CAMERAMAN WA ENZI HIZO....* [emoji57][emoji57] Makamera man walikuwa majeuri kishenzi yaani! Kwanza unakuta hii Kamera ina likamba fulani jeusi inaning'inizwa shingoni..... Kameraman ana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Sold
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Nina simu yangu tecno c5 tatizo pale nikitaka kutumia camera katika whatsapp au instagram au app yoyote ambayo naweza kutumia camera inaandika camera is denied restart your phone. Msaada, nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumia tv sumsung ila nikiweka picha zinonesha rangi nyeupe tu kiasi ambacho inaniumiza macho nini kifanyike ili kurekebisha rangi
0 Reactions
2 Replies
711 Views
balbu ya cfl JINSI YA KUANZA ZOEZI LAKO fungua balbu yako ondosha kigae (spiral) katika balbu yako muonekano wa ndani wa balbu yako utakuwa kama hivi tenganisha kwa uwangalifu kigae(spiral)...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Hiv hii machine Kwa game gan inafaa na nitaifanyaje ili niweze kucheza latest games mwenye idea yeyote msaada wako ndo mwisho was tatizo langu nauliza iv kwa sababu kuna pes 15 na linacheza tu vizur
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Wataalam mwenye kutambua code za hiyo cm anipe msaada, inatumia laini moja ya voda sasa nataka niwe natumia laini yoyote baadaya ku unlocm
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Back
Top Bottom