Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu, Hapa JF ni chuo kabisaaaa. Nimekuwa sijui A wala B kwenye matumizi ya android phones lkn sasa kuna kitu nshaambulia. Ahsanteni sana. Naomba sasa kusaidiwa kuhusu kutumia simu yenye laini...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello there, naomba msaada. Kuna Tv nimenunua China (Haier) na Android OS yake imekuja ukiwa na lugha ya kichina. Na kwa bahati mbaya hakuna option ya kubadili lugha. Sasa nataka ni-format hii...
0 Reactions
0 Replies
971 Views
hellow gays naombeni msaada wa kuroot simu ya ya huawei y3ii
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Naombeni msaada. Laptop yangu ya HP nikiiwasha, inaonyesha screen hii hapa. Tatizo ni nini?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
jaamn humu ndani.simu yangu ina ram ndogo pamoja na inteno yake ni ndogo naweza ungeza kimoja wapo ni HUAWEI YII
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Software nyingi zinapatikana kwa aliyekuwa anahitaji zikiwa na genuine product keys na maelekezo yake jinsi ya kuinstall kwenye computer au laptop.. Windows Operating System 7,8 & 10 Mac OS...
1 Reactions
0 Replies
850 Views
huwa napenda kuweka links ila inakuwa tatizo kwangu. inategemea na kompyuta au ni ujuzi tu unatakiwa? kwa mfano unaambiwa bonyeza hapa inakupeleka kwenye site nyingine. ningependa kujua hivyo
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Habari wana teknolojia!..Natumai mu wazima.Nilikua natumia simu yangu aina ya samsung galaxy j5 mara ghafla ikapoteza content!.Yaani screen ikawa inaonesha marangi rangi mara weusi,unjano na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba tupeane maujanja kama kuna trick au apps za kuongeza followers kwenye mtandao wa Instagram. Nahitaji sana msaada wenu na natanguliza shukrani.
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Naomba msaada simu ya tecno y 3 nikiiwasha zinakuja sms nilizotumiwa zamani.je nifanyeje zisiwe zinakuja?
0 Reactions
4 Replies
743 Views
Habari zenu wakuu. Napenda kutambulisha kwenu uwepo wa app inayoitwa "Appetite" (inapatikana playstore). App hii inakuwezesha kuandika recipe zako pamoja na kushare hizo recipe. Kwa sasa app ina...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Wakuu kwa anaeuza boom j8 isiwe na michubuko.. Rangi ya gold iwe na kila k2 kuanzia (head phone,chaja, lisiti nk...
0 Reactions
2 Replies
512 Views
Msaada wadau.. mimi nina simu ya samsung note 4.. sasa recently haifungui picha wala video za instagram wakat netwok iko poa (natumia airtel) na app ipo updated!! App myinginez ziko safi!! Hili...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu kwa anaeuza boom j8 isiwe na michubuko.. Rangi ya gold iwe na kila k2 kuanzia (head phone,chaja, lisiti nk...
0 Reactions
3 Replies
590 Views
Naombeni kunisaidia, hv umeingia dukan kununua simu ya w5 techno, kumbe cmu hyo ilinunuliwa na mtu mwingne ikatumika kwa 3days ukauziwa hyohyo! Je utawezaje kuitambua hyo cmu kama imeshawekewa...
0 Reactions
2 Replies
657 Views
Habari natumia router potable version Hauwei E5330 nimeweka lain ya smart inasoma 3G lakin speed kicheche Nipo Arusha
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Kwa wajuvi wa frash repair naomba software kwa mwenynazo
0 Reactions
1 Replies
451 Views
Naombeni msaada wenu nielewesheni juu ya comment za programming language hasa kwenye html
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Karibu ni wadau wote wa Ku Design Website kwa kutumia CMS kama WordPress,drupal and joomla tupeane updates 1:Installation na Requirements zake 2:Themes,plugins and widgets updates 3:Jinsi ya...
0 Reactions
3 Replies
863 Views
Kichwa cha habari cha husika.Toka nianze kutumia laptop nimepatwa na hili tatizo mara kwa mara la laptop ku emmit joto la hali ya juu NB:Mazingira yote ya kuhakikisha kunakua na maximum air...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom