Kwa alie cheza GTA 5 na Tomb raider 2013 kwenye Ps 3 naomba msaada.Mm nikianza kucheza tu tomb raider yule jamaa naekutana nae mwanzo nakunivuta huniua na kuishia hapo hapo ...kwenye GTA 5 mwanzo...
wakuu hii ipoje yaani kila baada ya kuroot sim hua inakua nzito yaani ukifungua application inakua nzito na haichelewi ina exit ni simu ya tatu hii msaada nifanyeje coz now naona ku root ni ka...
Naombeni msaada wa mawazo niña laptop hp 2000 ina freeze mouse na screen ina freeze kila kitu haki respond. Naomba mwenye aliwahi pata tatizo kama hili anaiambie nini shida.
Asante
Wakuu nilikuwa na Reset Pc yangu ina wondow 10 sasa nilikuwa na Reset yani ifute data zote ianze upya process imeenda fresh mpaka ikajaa asilimia 100 ikaanza kuinstal window sasa hapo Sikujua kama...
Wakuu habarini poleni na majukumu..! Nimekutana na Changamoto. Ktk simu ya yangu ya Android ya kutopata notification za whatsapp na baadhi ya Application kama Live score.. Pale ambapo sipo katika...
Ndugu, natumia simu aina ya tecno Y3+, nahitaji kujua namna ya kuiweka namba blacklist kwa kutumia simu hii, naweza kufanyaje? Ama mtu akiwa ananipigia cm yake ikate tu.
Baada ya kuroot simu ya huawei kestrel G 535 imeandika neno unfortunately huawei home is stopped na app zingine ila nikitouch OK kwenye zingine neno hilo linatoka ila mwisho linabaki la huawei...
Kila nikigusa picha badala ya kufunguka ninaletewa screen ya "send a crash report"
Hivyo nashindwa kabisa kuona attachments zote.
Naomba msaada wa kuondoa tatizo hili.
Heshima kwenu wataalam wa jukwaa....Nina laptop nimenunua Jana ni HP ...ila inashika sana moto kama techno vile NA pia inavuma sana....pia nimeichunguza haina mlango wa CD ...VP wakuu maana jamaa...
Wakuu msaada unahitajika kama heading inavyosomeka.
Habari wakuu, wana Gadgets!
Ni simu ya Android version 4.3, napenda niongeze version pamoja na kuongeza ROM.
Nimejaribu ku update kawaida...
Wakuu naombeni msaada wa jinsi gani naweza kurekebisha keyboard ya kwenye PC yangu ili iweze kufanya kazi kama kawaida, aina ya PC ni lenovo na inatumia window 8.
Hivi kwanini wanao fanya biashara mitandaoni (ONLINE BUSNESS) za simu unaweza ukauliza simu fulani ipo na ukaambiwa ipo pia anakupigia na picha kabisa ya simu unayo ihitaji cha ajabu ime number...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.