wandugu naomba msaada nilidondosha sm yangu smart phone mm n miongon mwa watu wanaosev majina katika email adress tatizo limekuja sm yangu sikua nimeiweka patern wala password aliyeokota anafanya...
habarini za asubui wana jf....
mimi nlikua naomba msaada wa pc camera software
mwenye link ya kudownload anisaidie tafadhali.
natumia window 7..LAPTOP NI HP...natanguliza shukrani.
Jamani nahitaji msaada wenu
Nina laptop yangu aina ya Dell
Nilikuwa Naitumia vizuri lakini juzi imeanza tatizo la Kuwa nzito na kuchemka nikiwa naangalia movie inakaa mda Ikiwa Poa baadae inanza...
Ni matumaini yangu kuwa wote mko na afya njema. Nimekua nikiona mitandaoni kuwa kuna baadhi ya watu wamefikishwa mahakamani kwa sababu ya kusambaza kitu kwa njia ya Watsapp , hii ina maana private...
simu yangu tecno w3 inakuwa na kifurushi cha kutosha kabisa lakini msg za whatsapp hazifunguki lakini nukiunganishwa kwa WIFI zinaanza kufunguka. naombeni msaada
Nmepoteza cover ya cd ya windows8 that means nmepoteza pia na code zke za kuniruhusu mm kuweza kuitumia..how can managed to use au kuzipata hizo code zke maana imeishia kati inacommand code ambazo...
Tafadhari Shufu Kichwa cha Habari Hapo Juu,
Naomba Kusaidiwa Kupanga Channel Kwa Jinsi Upendavyo Kwenye King'amuzi cha Azam, Mf. Kwenye Madishi Makubwa Nilikua Nimepanga Channel ya Kwanza1. ITV...
Siyo siri, Kwa sifa hizi Nokia atatake over easily katika soko la simu za mkononi, Hususan Africa,Tanzania ikiwemo. TECNO, ITEL & Co wajiangalie na simu zao ambazo ni overpriced huku zikiwa na...
habari zenu wakuu,
kwanza natanguliza shukurani kwa msaada ntakaopewa,
computer yangu aina ya desktop (HP), pia ina RAM 1GB, WINDOW7, harddisk GB40,
nikiistall games zinagoma kuplay sijui tatizo...
Nimenunua Projector(beamer)
Nimenunua na HADMI wire kwaajili ya hiyo projector
Nimenunua na na kichwa cha HADMI ili niunganishe kwenye
Ipod au tablet lengo nicheze move toka tablet...
Nahitaji Kununua Compyuter Kwaajili ya kufanya Video Editing
#Mwanzo Nilinunu HP yenye 4gb Ram, processer Core Duo 3.00Ghz Hdd 500 Gb
Nimeweka Adobe After Effect CS6 Inakuwa inastak Sa Cjui...
Wadau ninaomba msaada Mara nyingi ninakuta kwenye simu application moja au mbili hazionekani wakati niliziinstall kutoka play store Ila ukiingia setting,apps unazikuta zipo tatizo ni nini!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.