Wadau kama kichwa kinavyojieleza. Nina simu ya samsung s4 GT-I9500
tatizo lake ni hilo. Mnara unaoneka network imejaa lakini ukijari kupiga inatoa majibu kwamba
Not register on network. Naomba...
Habari wakuu....
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikitumia sizi simu japo nimewah tumia android pia
Nimekuwa addicted Na hizi windows phone, maana Ni simu ambazo sipo smart kuliko kawaida(...
Wakuu nauliza namna ya kuhama mtandao kama ilivyotangazwa.
Je unahama vipi?
Ni nani aliyehama akafanikiwa?
Na je MB za mtandao uliohamia ndo utakazotimia kama umebadili Na umeunga MB hizo...
habari wadau!!! samahani nimepiga pasport ambazo zinaitaji ukiprint ziwe kwenye karatasi moja pasport kama 40 hivi sasa inabidi kila moja iwe na namba yake jina, jinsia na sehemu ya kusaini mwenye...
wakuu salaam
kuna Kitaa cha kwenye king'amuzi cha azam upande wa kulia kwa Juu pameandikwa LOCK hakiwaki nafikiri ndo tatizo maana king'amuzi hakifanyi kazi.
msaada wenu wadau namna ya...
Kuna thread hapa nilianzisha kuhusiana na tekno yangu aina ya y3+ kuwa na tatizo la kuzima ovyo pindi ninapoicha bila matumizi, nashukuru wadau waluo wengi walinipa ushauri nzuri.
Sambamba na...
Habari wakuu, nilikuwa nahitaji IDM iliyokuwa cracked au downloader nyingine yeyote kwa ajili ya ku download clips online. Hapo kabla nilikuwa na IDM sasa imeleta shida, ilikuwa cracked...
Habari za weekend wakuu?
Najua mnafuatilia mechi vzuri, ila tusaidiane kuambiana App nzuri ya mobile ambayo inadownload torrents faster, tofaut na utorrent na Bittorrent
Asanteni
Kwa taarifa za uakika kabisa ni kuwa kazi ya kuunganisha vituo vyote vya dart kwa mfumo wa computer alipewa vodacom( ???? ). Kilichotokea kila msafiri wa dart anajua jinsi risiti zinavogoma...
Jaman naomben links/websites zinazo onesha onlive tv channel za Tanzania maana npo nje ya nchi so namiss habar na matukio ya nyumban.
Natanguliza shukurani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.