Habarini wakuu
Mimi ni mwanafunzi wa uhandisi umeme...
Katika harakati za kujifunza nje ya darasa nilikua natamani kujifunza kuprogram PLC..
Shida inakuja pale ninapotaka kudownload software kwa...
Jamani msaada nina external yangu GB 160 lakini nikiiwekea mzigo mkubwa unakuwa nzito na nikitaka ku play hata video ina load mpaka kesho ila nikiweka mzigo wa GB ndogo Kama GB 10 ndio inakubali...
Hizi simu mm nimezitumia sana Kwa mfano kama tecno lg htc. unakuta zinajitahidi kupiga sana camera zikiwa mpya lakini siku zinapo zidi kwenda mbele lile jicho ndio linazidi kufifia hata kama kama...
Habari za Usiku wadau wa jukwaa hili?
Na Tatizo moja kama kichwa cha thread kinavyojieleza. Nimedondosha simu yangu kwenye maji Nokia C1. nimeifungua na kusafisha maji yote ila sijaiwasha! Je...
Wote tunaijua programu ya VLC kuwa ni programu ya kuangalia video na kusikiliza audio, lakini ukweli ni kuwa programu hii inauwezo wa kufanya mambo mengi zaidi ya vile tunavyodhani. Kama...
Habari wana jamii forum, naomba kujua mwenyekufahamu bei ya simu sumsung galax j7 nataka kununua lkn bado nawaza nichukue ipi sasa mimi nimependa hiyo ila sijajua bei.
Habari ya weekend nimetengeneza playlist ya web development kwa html waweza zicheki na kutoa ushauri wako. Samahani niliweka link amabayo ilikuwa haifanyi kazi ila sasa iko poa
bonyeza hapa WEB...
Nimekutana na picha hii nikajikuta najiuliza kwa sababu mimi sina ufahamu na vifaa hivyo lakini pia camera nyingi ninazoziona hazipo hivyo, je, hiyo ni aina gani ya camera na mbona ina makorokocho...
Hivi swala la kuagiza mzigo kama Tv kupitia fedex kuna haja ya kuwa na agent sijui ili utoe mzigo au tin number na kadharika, mimi nimekuwa nikitumia posta sasa safari hii nimeagiza mzigo tv ya...
Ukuaji wa teknolojia unazalisha stori mpya kila siku ila leo huenda ukashtuka; unajua simu yako inaweza kukwambia siku yako ya kufa?
‘Macabre iPhone App’ ni application ambayo unaweza kuiweka...
Habari zenu wakuu,
Nilikuwa naulizia kuhusu huu mtandao wa Paypal hapa Tanzania.
Kwa mfano nikiwa nafanya kazi mtandaoni, Then nikachagua njia ya malipo ya Paypal, Je hiyo hela nita-Receive ila...
Habari wakuu, ninatumia Ubuntu 16.04 nilikua natumia hii Ubuntu Ku run php files, ila kwa Sasa Niki log in Kama root kwenye phpmyadmin napata hii error kwenye screenshot. Kabla ya tatizo niliikua...
Wakubwa naomba msaada juu ya Experience hapa. Nachanganyikiwa kwenye kufanya maamuzi which one to buy Kati ya HP Spectre na Lenovo ThinkPad L440. Nafaham durability ya Thinkpad. Lkn cna experience...
Wana bodi amani iwe kwenu,
Nimenunua Samsung s 7 edge dukani ndani ya box, ukiiwasha inatoa neno 3 Three.co.uk lakini kuna rafiki yangu yake akiwasha inatoa neno Samsung.
Sasa nawaomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.