Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari... Kuna HP imegoma kuwaka, yaani ikiwaka kuna Ka mstari Fulani kama Ka alama Ka kutoa kana blink kwa upande wa juu kushoto, basi haiendelei tena...... Ilikuwa hivi, niliizima fresh...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu nimedownload version mpya ya whatsapp lakini nashindwa kuitumia hasa hapa kwenye stutas yaani sielewi kabisa mwenye kujua hii version mpya ya whatsapp anisaidie jamani msaada jamani
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hapo jana shirika la NASA la nchini marekani lilitoa tangazo maalumu kuwa sasa kumepatikana sayari saba mpya, kwa mujubu wa NASA sayari hizo zenye ukubwa sawa na dunia zinauwezekano wa kuishi...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
nimesaha no zangu za ATM nawezaje kuharck account yangu watu wa IT Muhusike
0 Reactions
5 Replies
7K Views
How to make emoji using your picture Technology is really improving day by day Not all the emojis can express someone's feelings You can now express your feelings using your image At least to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za mida wakuu,naomba kujuzwa tofauti za RAM na processor naona zinanichanganya.Pia ipi itakua mashine yenye uwezo mkubwa kati ya hizi mbili,machine 1:intel core i5 RAM 3GB machine2:intel...
2 Reactions
12 Replies
9K Views
2jadiliane wote na 2elemishane.. Mi nimtafiti wa ma network ya bongo,nachunguza process zote na katika process ya kucheki napata kujua vitu vingi tuu,hadi wapi kuattack..but nimeona sasa ni mda wa...
5 Reactions
85 Replies
23K Views
Kuna ishu kubwa saivi inatuface gamers ambayo ni hadwares To be honest hapo mimi mwenyewe kilaza. Tena kilaza haswa. Ila nina PC ya kawaida tu HP i3 na inapiga mizigo kama lembe. Nina magem...
2 Reactions
59 Replies
8K Views
Naipenda sana Game ya Euro Truck 2 Simulator, mpk sasa nipo level ya 16 kupitia laptop yangu, kitu kinachonishinda ni endapo nikitaka kuendesha magari mengine tofauti na haya Ma-truck, kwa...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Chanel yetu pendwa kwa sisi kipato cha chini hatimae imefikia ukomo wake jana, ni pigo sana kwa upande wetu sijui tutafanyaje tena kupata mbadala wake
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Wana jamvi nahitaji mordem ya tigo au voda kama unayo uni pm tufanye biashara
2 Reactions
2 Replies
911 Views
kama kila MTU anavyojua dunia imeshaa Na inaendelea ku undergo a digital revolution.Hapa Africa tunaona innovations kma sim banking Na "bullshit waste of talent programs to save society nyingi...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
wakuu habari ,naliomba mwenye kujua jinsi ya kujiunga na mtandao wa matangazo kwa website wa pinpoint anifahamishe,natangulia shukrani kwa atakayefanikisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simu yangu ya huawei ascend g730 ilianguka ikazima nikawa naitumia kawaida tu siku ya siku nikawa nikiweka chaji inaniandikia error! Please plug out charger..nkanunua betri jipya lakini wapi...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Sisemi Mimi ila ni vote iliopigwa mtandaoni...... Ila naafiki
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Baada ya kuzitumia kwa mda mrefu Tecno.. Nimeona nibadilishe aina nyingine.. Naomba ushauri kuhusu aina hii ya Infinix.. Ubora na kasoro, zake... Karibu........
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Hamjambo wadau? mwenye ujuzi naomba msaada tafadhali, ninatumia simu aina ya BLU Win510L, simu hii inatumia Windows 8.1 OS, tatizo ni kuwa simu hii iko slow vibaya mno kwenye mtandao natumia line...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Mbona kuna simu nyingine zina kataa kuleta ile offer..
0 Reactions
1 Replies
812 Views
Nili uninstall facebook application from my iphone lakini nikiingia app store ili kuidownload nashindwa na inanipa msg kuwa ni temporary unavailable...nikajaribu kuitoa facebook messenger but...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Naomba kusaidiwa jinsi ya kuitengeneza simu yangu aina ya XIAOMI REDMI NOTE 3, 32GB STORAGE . Tatizo ni kuwa niliiflash kwa sp flashtool ikakubali hadi mwisho ila baada ya...
0 Reactions
1 Replies
817 Views
Back
Top Bottom