Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Uwezo mkubwa wa kuona umekuwa ukifananishwa na JICHO la TAI lenye sifa za kipekee. Katika maendeleo ya Technolojia sasa Imevumbuliwa Camera ndogo zaidi sio tu zaidi ya mbegu ya mchicha bali zaidi...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nina deki yangu aina ya singsung ..imeanza tatzo nikiweka cd nyingine zinasoma zingine hazisomi inaandika stop nkplay tena inaandika stop.. Mda mwngne znasoma ila inaandika unsupported format...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Mie n kijana. Naifaham computer kwa matumizi ya kawaida.. Napnda sana kupata mafunzo ya technlogia ya kupambana na wizi wa mitandao.. Je kwa hapa tanzania especially dar nitapata wapi hio course
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wapendwa,natafuta screen ya simu X-BO 01.Mwenye nayo au kujua zinapopatikana,Msaada unahitajika.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
How to learn to hack in easy steps ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ Introduction...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari ya saa hizi wana JF. Samahani naombeni msaada, Eternal Hard Disk yangu (Transcend 500 GB) Inaandika Format kila nikiichomeka kwenye PC. ndani ina data zangu nyingi sana muhimu. Nimejaribu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wana TGS/JF, Nimepata taarifa kutoka ndani TCRA kwamba kuanzia mwezi june 2015 kutakuwa hakuna haja ya kubeba line tatu hadi nne za simu za mikononi kwani suluhisho limepatikana. Unakuwa...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Heshima yenu wakuu, Kama nilivyo jieleza hapo juu naomba mwenye uelewa juu ya kublock sms za magroup watsaapp maana imekuwa kero sihitaji kuleft nia nikihitaji niwe naruhusu group moja moja...
0 Reactions
2 Replies
812 Views
Habari wadau! Huu mfumo wa TRCA ambao wanadai mtu ataweza kuhama kutoka mtandao 1 kwenda mwingine nauona ni mfumo ambao hautufai kabisa na una mapungufu. Nimemsikia mtu 1 kutoka TCRA redion...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Either kwa kutumia Google account au Hamna nyengine yyt ,INA some important documents,pls help me guys niipate Thanks @all who answer me
0 Reactions
3 Replies
881 Views
Habari wanajamii wenzangu! nnaomba msaada wa application hiyo kwa ambae anayo
0 Reactions
5 Replies
920 Views
Salam wana JF, Naomba alternative way ya kufungulia mlango wa CD ktk laptop imenigomea kufunguka kwa njia za kawaida.
0 Reactions
18 Replies
6K Views
wakuu ninatumia umeme wa sola kwa ajili ya umeme wa nyumbani, kwakuwa panel zangu ni za volt 24, na inverter ni ya volt 12, huwa kila siku asubuhi nina charge betri kwa mfumo wa volt 24(nina betri...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kumekuwako na ongezeko la mahitaji ya mitambo maalumu ya kuzuia wezi ya CCTV siku za hivi karibuni kutokana na ukweli kwamba kumekuwa na ongezeko la watu wasio waaminifu katika jamii CCTV ni mfumo...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
kichwa kinajieleza
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Kama kichwa kinavyojieleza Naomba kujua namna ya kutengeneza app yoyote na nitapata faida gani nikitengeneza na njia za kufuata ili niitengeneze Kwa anaejua anisaidie wale walosoma deep ama...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Nani anisaidie programu ambayo inaweza kuonyesha taarifa ya simu kuanzia inawekewa line kwa mara ya kwanza na idadi ya chip zilizoingia kwenye hyo simu!!
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Habari za jumapili wadau,Naomba niuliuze kitu kinachooneka hapa chini kwenye screenshot uwa ni setting au ni simu yenyewe,ukiangalia kwa juu kwenye notification bar mshale umelekeza (0.57 K/s)
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari wana jf, Kuna rafiki yangu anatumia simu ya iphone 6 aliletewa na kaka yake na pia kaka yake huyo ndio alimuunganisha simu yake na email yake, sasa rafki yangu kachezea simu yake, sasa...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Yeyote anayejua link ya ku download huawei e153u-2 naomba msaada.
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Back
Top Bottom