Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
eti antivirus nzur kwa ajili ya cm za android ni ipi
0 Reactions
3 Replies
872 Views
Hii ni miongoni mwa simu iliyouzwa kwa wingi duniani kuliko simu nyinginezo. Simu ya Nokia 3310 iliingia sokoni miaka 17 iliyopita na ikaachwa kutengenezwa tena. Inakadiriwa kuwa simu 126 million...
4 Reactions
57 Replies
9K Views
Naomben msaada jinsi ya kudeactivate hiyo kitu kwenye picha hapo chini maana nmekwama
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msichana ye atangalia ifuatavyo: -Color -Size -Camera Mvulana atangalia ifuatavyo: -RAM -Graphic Card -Processor -Cache -Display Size -Backlist Keyboard -HDMI port -Clock Speed -Battery -No. Of...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
//:
9 Reactions
32 Replies
5K Views
cm samsung glx note 3 ukiitumia inapata joto sana na haijaenda kwa fund nini shida hapo
0 Reactions
3 Replies
834 Views
Habari zenu wana jf, naomba tujadidiane juu ya hivi vitu hapa 1. internet protocal address (IP address) na 2. International Mobile Station Equipment Identity. (IMEI). wadau, mimi huwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa mudaa mrefu sana ASLR has been a pain in the ass Kwa exploits.Lakini finally ASLR has fallen.JavaScript exploit can give you access to the base address of a process hence Swift payload...
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Ni program gani inayoweza kuwa inapost automatic, au kufanya mambo fulani kwa kujiongoza kama Robot, kwenye PC?
0 Reactions
5 Replies
989 Views
NITAIPATAJE HII SIMU YANGU, Ni hivi wakuu, Mwezi wa 12 mwaka 2016 nilinunua simu ya Samsung Galaxy S3 ikiwa used kutoka kwa rafiki. Sasa hii simu nimetumia kama week mbili tu mwezi wa kwanza...
0 Reactions
2 Replies
772 Views
1. Baada ya kufuta files kwenye recycle bin huwa zinaenda wapi? Na je, inawezekana kupata hizo data baada ya kuwa zimefutwa kwenye recycle bin? 2. Kwa upande wa simu, data pia huwa zinaenda wapi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajf naombeni msaada wa jinsi ya ku-update hiki kidubwana kwa anayejua anijuze tafadhali.
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Una blog au website na ungetaka usaidizi wa content management , website optimization na mbinu za kupata heal kupitia website yako, blog au hata social media pages zako, ni pm for consultation
2 Reactions
1 Replies
539 Views
Nimefanikiwa kuUnlock Huawei Y3II 4G Bootloader kutoka tigo kupitia web ya Huawei lakini kuRoot sim bado inshu nimejaribu karibia Apps zote still simu inajiRestart kila nikijaribu kuiroot au...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
[emoji102]MGUCCI GADGETS[emoji102] Best IPhone's Dealers Is Back like [emoji209] IPhone 5c GB 16 Bei 350,000 IPhone 5s GB 16 Bei 470,000 IPhone 5s GB 32 Bei 530,000 IPhone 6 GB...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
kama kichwa cha habari kinavyosema hapo: account ya google ads inahitajika ila iwe na hosting blog yake...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Ni kwanini simu za tecno y3+ huwa inachelewa kuwaka na kuzima inachukua takribani dakika 2 nzima, kama kuna mbinu za kufanya ili tatizo liishe ahsante.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
JE?ulishawai kufikiria tv yako inaweza toka A na kwenda B hapa nazungumzia flatscreen.unaweza chukua rimonti yako na kuangalia tv yako ni toleo gan waweza kuta ni toleo la 2015 toleo la nyuma na...
0 Reactions
4 Replies
987 Views
Kuna taarifa kwamba huenda simu muundo wa Nokia 3310 zikazinduliwa upya na kuanza kuuzwa tena baadaye mwezi huu. Kampuni ya HMD Global Oy ya Finland, ambayo ina haki za kuunda bidhaa za nembo ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom