Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mwenye display ya HP envy m6 sleekbook anipe bei yake. Display size 15.6",mkanda mkubwa.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
kukiwa na hype za kila namna kuhusu ujio wa s6, lg g4 na hata iphone s6 lakini kila nikiangalia kulia na kushoto sioni simu inayoizidi galaxy s5 kwa inachokupa na bei utakayoinunulia kwanini...
7 Reactions
180 Replies
40K Views
App gani nzuri ya kuroot simu yangu? Nmejarbu nyingi nmeshindwa kama kuna mtu anajua nambie [emoji4]
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Wana ndugu salama, Naomba msaada wa hii kitu. Ni kwamba nimereset simu yangu from factor setting. Baada ya kumaliza resseting nikakuta kuna kishort cut ka king root. Hapo nafanye nacho. Afu...
0 Reactions
5 Replies
889 Views
Salamu zenu wataalamu Ninaomba nisaidiwe hili nilikua natumia microsoft lumia na nikawa nahifadhi document kwenye one drive na kwakutumia email ya outlook kipind nikizihitaji hata kama nikireset...
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Msaada, Huawei y560-u02, kwa bahati mbaya nimefuta phone/messaging storage kwa kingo user, sasa simu inaniandikia "Unfortunately, the process com.android.phone has stopped" nikibonyeza ok network...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Natumia nokia 625 juzi nilireset nilipojaribu kudownload apps inaandika error occur nimekuja kugundua inataka ni update to window 8.1 lakn inanitaka niunganishe na wifi je nifanyaje ili niweze ku...
1 Reactions
10 Replies
912 Views
Msaada kwenye tuta tafadhali: Simu yangu ni blackberry curve 9300 imefungiwa Whatsapp sasa nawezaje kuipata app ya whatsapp itakayoendana na uwezo wa simu yangu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wakuu Naomba wenye ufahamu wa hizi simu za I phone 6 na 6plus. Matatizo yake common ni nini na ubora wake ni upi na tofauti ya hizo model nini? Naomba kujua kabla sijahesabu mpunga wakuu
1 Reactions
165 Replies
27K Views
Wataalam mniambie Hali ya simu kujizima zima pindi unapopiga ,natumia VIWA A4 yani imeanza tatizo la kujizima kila nikitaka kupiga mpaka natamani kuipasua hii simu,Kuna wakati inatulia na kuna...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua sensor kwenye simu za Samsung zina kazi gani
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu nyinyi mnaikubali mashine ipi kati ya ps3 au pc kwa gaming kwa mimi binafsi naikubali pc kwa high end ps3 medium end ukiangali games nyingi zikitoka kwa pc kwa ps3 hazikosi sasa kiujumla...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari wana jamvi, naomba kufahamu namna ya ku track a stolen phone kama ina registration kwenye google kupitia gmail account na IMEI namba yake Natanguliza shukurani kwa watakao changia positively
0 Reactions
10 Replies
6K Views
nimepata iyo email ambayo inasema wamesha review na nianze kuput ads sasa niki login inasema bado na email tayar washajibu shida nn hapa waungwana
0 Reactions
3 Replies
770 Views
Naomba kuelekezwa jinsi yakuitumia hii app yakuzuiya matangazo,AdsBlock Browser
0 Reactions
3 Replies
653 Views
Nahitaji Huduma ya SEO Katika Wordpress kama wewe ni mtaalamu naomba uni PM ili tufanye kazi
0 Reactions
3 Replies
896 Views
Helo wadau nimepita kkoo nimekutana na hizi decoder za kodtech...nimeambiwa zinatumia antenna na channel zake zinapatikana free bila kulipia. naomba wataalamu humu au waliowahi kuzitumia wanipe...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba fail la simu hii
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari,ninashida kidogo hapa na huawei y520-u22, tatizo ni kwamba nikiiwasha inaishia pale kwenye logo ya huawei na haifany chochote, nikijaribu kuhard reset kwa button combination inafika mpaka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom