Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba njia ya kuunlock simu inayotumia mtandao mmoja ,please kwa mwenye maujuzi naomba anisaidie niweze kuunlock simu yangu iweze kutumia laink tofauti tofauti maana hii laini moja naumiza kichwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Juzi usiku bana nilinunua nguo ebay kwa wauzaji wawili tofauti mmoja ameshautuma mzigo tokea jana na huyu mwingine mpaka sasa hajatuma mzigo. Jana nikawasiliana nae vipi mbona mpaka sasa hujatuma...
1 Reactions
77 Replies
8K Views
Nilikuwa nataka kuweka password kwenye baadhi ya folder za computer yangu kama kuna mtu anajua anaweza kunielezea. Nataka niwe nafungua mm peke yangu zisifunguliwe na mwingine.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu, naomba kujuzwa jinsi ya Ku access php projects kwenye Linux ili niweze Ku zi view kwenye browser, nimesha install LAMP, na imeconnect vizuri tu na nimeisha install pia mysql...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa setting za Halotel kama Ip adress, sabnet mask na getaway . modem yangu inasumbua kuconnect automatically kwenye chromebook.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, nisaidieni app nzuri ya mobile ya kudownload torrents, tofauti na utorrent
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Application yake naipataje online? Je na TV gani hapa Tanzania znapatikana online mbali na Azam
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watengenezaji wa simu za Blackberry jana wamezindua simu Mpya itakayofahamika kama BlackBerry (Mercury) KEYone. Simu za Blackberry zinategenezwa na kampuni ya kichina inayofahamika kama TCL...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii snap ya video nilio Tengeneza Program nilio Tumia ni Sony Vegas Na plug nilio Tumia sana ni magic bullet 12 Kwa mtaalam wa Mambo haya si mbaya kama tuta peana maujuzi mengine [emoji120]...
1 Reactions
1 Replies
961 Views
Humorous Quotations From newsgroup alt.humor: "Computers in the future may weigh no more than 1.5 tons." --Popular Mechanics, forecasting the relentless march of science, 1949 "I think there is...
1 Reactions
1 Replies
548 Views
Simu yangu toka nimeanza jana kuweka apk kwa simu yangu,inaniandikia unfortunately android phone mara kama umezima data umewasha data zinajizima na baada ya hapo simu inaganda naona inajiwasha...
0 Reactions
2 Replies
759 Views
Nokia stunning back in all diverse Restoring back the first generation of Nokia 3310 This time around, it is said to be in another platform The question is Will it be strong as the first...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
wadau ninaomba kufahamu je! unapoweka memory card yenye ujazo mfano 16gb na simu yenyewe unayotumia ina 16 gb internal storage utakuwa umepunguza tatizo la simu kutokurun vizuri!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta used Floor Standing Air Conditioner-
0 Reactions
0 Replies
498 Views
Blackberry ni miongoni mwa kampuni ulimwenguni zinazoongoza katika ufumbuzi wa teknologia mbalimbali katika ulimwenguni wa mawasiliano wa kutumia simu za mkononi maarufu hivi sasa kama smatifoni...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Naomben msaada wa jinsi ya kuwa na speed ktk typing, nitafurah iwapo nikipata game ambalo litanisadia ktk speed, natangulia shukran
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau msaada tafadhal Samsung TV haitak kuonyesha picha na inawaka na kuandika Samsung tuu, msaada tafazal Nakosa mech mwenzenu
1 Reactions
2 Replies
627 Views
Laptop yangu aina ya Lenovo ni mpya na inatumia window 10.Tatizo ni kwamba nikiingia kwenye internet kuna wakati inaleta bar na dots nyeusi juu ya page niliyopo. Bar hizi zinatokea randomly na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wadau Simu yangu nokia x2 rumia nadhani ina tatizo au labda ndio ipo hivi inikutavyo tatizo nikwamba 1,Nikiwa napakuwa baadhi ya App unigomea na kudai sijafikia huduma za google duka kifaa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba kujua jins ya. Kuanza kutuma pesa kwenye mtandao unaanza tuma pesa au lipa kwa M-PESA?? Nmesha poteza 20 wadau msaada kwa anaye jua
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom