Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jaman naomba mwenye faili la cm tajwa hapo juu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna Simu kila wakati inaandika hivi sijui tatizo ninini kwa maana nime jaribu kui restore lakini ime goma mwenye kujua anifahamishe. Nitangulize heshima kwenu
0 Reactions
4 Replies
603 Views
Habari wakuu. Naomba mwenye ujuzi wa kudesign games anijulishe. Asante
0 Reactions
2 Replies
663 Views
Tablet yangu s7 haiwaki, ilianza kwa ku stack. In built in battery hivyo si rahisi kutoa battery na kuiwasha upya. Msaada nifanyeje
0 Reactions
3 Replies
645 Views
Naomba mnisaidie nini maana phone rooting pia naomba msaada jinc ya ku root sim zangu za halotel, Samsung galaxy j1 na samsung GT S6802
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Ninatumia sim tajwa hapo, bahati mbaya niliidondosha na kuvunjika kioo .Hii sim nilipewa na ndg yangu toka US. Je naweza pata hiyo screen au ndio basi tena. Nawakilisha.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wanaopenda kupakua movie mtandaoni bure, pop corn time , ipo kwa ajili yako. Ni program isiyopatikana play store. Unatakiwa ku google kupata set up zake. Now its your time !!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nime update Facebook messenger App ila kila nikitaka ku log in lazima simu
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari wanaJF, kupita kupita online nimekutana na kitu kama hichi ambacho ata mm nakitafuta, kwa anaeweza link hii hapa; Freelancer - Hire & Find Jobs
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Mchoro wa kikatuni cha Android kimenaswa katika mtandao wa Google Maps eneo la nchini Pakstani kikiwa kimechorwa kinakojelea alama ya kampuni shindani ya Apple. Google Maps ni huduma ya ramani...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa kuanzisha blog kwa anae jua anielimishe
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu je naweza kufanya nn kuinstall older version ya whatsapp kwan nilionayo inaleta mapicha picha tu. Asante
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hello Xbox 360 E nauza in JTAG kabisa au waweza sema jailbreak kama umezoea ivyo Lina games 35 ndani .Controller tutatoa 3 ,camera yake ya kuchomeka pamoja na CD 10 zingine free twakupatia
0 Reactions
12 Replies
3K Views
naombeni ushauri wenu nahitaji nunua iphone 6s+ iphone sjawahi tumia inasemeka ni simu nzuri sana ukiitumia na ukishaizoea huwezi tamani kutumia androd tena. Mimi nilikuwa naomba mwongozo au...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Kila nikituma video whatsap inabadilika rangi sijui kwanini
0 Reactions
1 Replies
446 Views
Funga na kisha tupa ufunguo kabisa. Subiri kwanza…..Lakini hakuna ufunguo!. Watengenezaji wake wanaliita kufuli janja. Makufuli ya ‘TappLock’ ambayo yapo ya aina tofauti tofauti hayahitaji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heri wakuu!? Nina tatizo moja ambalo naomba msaada wendu. Kuna account ya wife ya facebook naona inachezewa. Nimekuwa nikiona messages kama anajibizana na mtu,nikamuonya akadai si yeye...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wakuu, natumia tecno w3 LTE, mtandao halotel na airtel, kuna baadhi ya sms nikitumiwa hazifiki ni kama kwa wiki mbili hivi na kwa yule aliyetuma zinaonyesha zipo delivered. Nahisi shida ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, nimekuwa nikijaribu kuroot simu yangu aina ya Tecno w Marshmallow lakini imekataa. Nimeambiwa njia pekee ya kuroot ni kwa kutumia Custom Recovery. Naomba mnijuze Custom Recovery...
0 Reactions
4 Replies
719 Views
Wakuu wa kazi kijana mwenzenu nipo mbele yenu naomba mnisaidia jinsi ya kapata pesa kupitia blog maana nina kablog changu nimekaanzisha https:/sharifudon.blogspot.com
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Back
Top Bottom