Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
naomba keys za antivirus za karpesky 2016 kwa alie nae
0 Reactions
2 Replies
646 Views
jamani naombeni msaada nimeibiwa simu yangu aina ya Iphone 6S+ nahitaji kuifunga hii simu au kuipata
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Hellow guyz, Ninatumain mu wazima wa afya njema katika nchi hii tukufu ya mkuu wa nchi Magufuli. Naomba msaada kwa mwenye uelewa, nataka kununua application kutoka appstore na option ya kulipia...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu wapendwa? Naomba kwa wataalamu wa hivi vifaa, maelezo au specification ya hizi computer tafadhali. Nahitaji PC nzuri, naomba msaada wenu plz.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapi naweza kusoma programmes hizi,.. Ms access, excel, publisher, powerpoint kwa muda mfupi na gharama nafuu?
0 Reactions
5 Replies
968 Views
Hello Tech, Toka mwezi December nimehangaika ku upgrade toka Android marshmallow to Nougat na simu yangu ya huawei P9 lite ila ROM nyingi ni za ulaya na kwengineko nami natumia international...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Na hii ndiyo Serikali inayoishtaki JamiiForums! Wanaelewa kweli walifanyalo? Check Account Suspended
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Habari zenu wakuu,, mwaka kama mmoja uliopita nilikuwa namba nilikuwa naitumia na nilijiunga nayo Whtsp pia, ila bahati mbaya simu ikapotea na nikashindwa kuirenew sabb nilikuwa nje ya nchi je...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninaomba kufahamishwa jinsi ya kuroot simu aina ya Tecno C9 maana kwa njia ninazozifahamu na zile ambazo nimewai ona thread zake hapa nimeshindwa kuzitumia hadi nifanikiwe katika hili...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Tujadili kwa niaba ya watu wote wenye mawazo - na + ( Hili ni kosa la udukuzi wa taarifa za kimitandao usijaribu kukutwa ) Tusiwe wavivu au wepesi wa kurahisisha mambo kama mtu haitaji ushike...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
jamani anayeijua jinsi ya kudownload na kuinstall linux kwenye pc atupe idea ndugu zangu
0 Reactions
0 Replies
760 Views
anisaidie kunipa maelezo kuihusu
0 Reactions
1 Replies
562 Views
Naomba kuuliza kwa wanaotumia Android os lollipop v5.0.2 ina features gani zimeongezeka tofauti na Android os kit kat v4.4.4?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Utafiti uliofanywa na tovuti ya Match.com nchini Marekani unaonesha watu utumia hadi vigezo vya simu ambayo mtu anatumia katika kuchagua mpenzi. Inaonekana watumiaji wa iPhone ndio ‘wanaojisikia’...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
How to setup Voice Typing in Android Devices Just speak out your words and see it typing Make your typing more easier for you No stress No data connection is involve No third party app is...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Jaman msaada mwenzenu app nzuri ya kuchekia mipira isiyo gandaganda.kwan leo tv yangu imeungua na kuna gemu za uefa.natanguliza shukran kwenu.achana na mobdro app
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wakuu, kuna hizi taarifa za kuhama mtandao bila kubadili namba. Naomba kuelewesha inakuaje apo. " Habari kwa Umma, huduma ya kuhama mtandao bila kubadili namba yako itaanza kuanzia tar...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom