Wakuu habar?.
Mi natumia simu tajwa hapo juu ya Alcatel 5023F hizi za vodacom.
Tatizo ni kwamba toka jana imekuwa inaonyesha sign kama betri ipo chaji hata kama nimeitoa kwny chaji. Pia inaandika...
Habari wanaJF, naulizia aliwai ku implement online payment kwa kutumia M-Pesa, Airtel Money,Tigopesa, visa card na paypal. Nimesoma Paypal nais kama inawezekana sijapata bado idea ya payment...
Greetings brethren!
Few days ago I started a post asking for your help for a beginner python exercise. Give thanks for the contributions.....nilisaidika sana mosi the task was solved pili...
Habar JF naomben msaada!!
Pc yangu ina sehem ya ku insert SIM. Card kukonfigure ndo ishue anejua kuset line ikatumia kweny computer msaaDa tafadhali!!.
Vifuatavyo ni vitu vya kiteknolojia ambavyo havikuwepo tangu mwaka 2006 kama ifuatavyo.
Na vipi vingine ambavyo havikuwepo miaka ile ya nyuma?
1.WhatsApp
2.Android
3.Uber Spotify
4.Instargram...
Ni Toshiba laptop Satelite Niliitumia fresh kwa muda wa lisaa limoja ikaisha charge ikazima nilipojaribu kuiwasha tena inatoa mwanga kidogo kwenye screen halafu inazima.nimejaribu kuhold F8...
Ndugu wapendwa polen kwa majukumu me natatizo moja kuhusu iphone kila nkitaka ku resett ianze upya nashindwa najaribu ku turn off #findmyphone na log out icloud ila ikimaliza process inatoa only...
Computa yangu aina ya hp ina windows 7 ultimate imepata tatizo kama ifuatavyo:
Nikiiwasha inawaka kwa maana ya button ya kuwashia pamoja na lights zote za knye keybord zinaonesha komputa imewaka...
Ni Samsung prime core (dual sim) nilikuwa naitumia bila tatizo lolote mpaka juzi hapa ndio imeanza tabia hiyo
Yaani nikiwasha data tu inajirestart kwenye upande wa line mpaka hapo itakapo maliza...
Nilikua nataka kujua kama kuna distributors wowote hapa Tz wanaouza embedded system equipments kama Arduino boards,complex Sensors,breadboards etc etc.inabore sana unataka kufanya ka project...
Habar za shughuli wakui,poleni na mashughuli katika kujipatia riziki,binafsi ninaomba msaada katika hili,napata tabu sana pale nisipotaka namba flani initafute kimawasiliano,hili lipoje kwenye...
Xiaomi Redmi Note 4 - Full phone specifications
CHIEF MKWAWA na wajuzi wengine, naomba kueleweshwa vizuri kuhusu ubora wa simu hizi. Naona wanatengeneza specs kubwa kwa bei ya chini sana[emoji14]...
Kwa kila post, unayoweka hewani, wengine wanaboost au kupromote post au matangazo yao, tangazo likiwa hewani watu wengi wana like post lakini sio page na wamiliki wa page wanakuwa wanatamani mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.