Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu wangu.... Asanteni sana (hata sijui kwanini nawashukuru) Nina Laptop yangu (Lenovo) inatumia Windows 10. Hard disk 465 GB. Hard drive yake imefanyiwa partition mbili (Yaani local disk C...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
wakuu habar Zenu, naomba mwenye ujuzi wa Kuunlock homebase tv, Niki washa inaleta chenga alafu inaon yesha Locked message, msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Jolla C ni moja ya simu zenye OS hii ya Sailfish ambayo endapo project hii ingeshika soko basi tungekuwa na chaguo la ziada pale unapoenda kununua Simu basi ungeweza kuchagua smartphone ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hello wana JamiiForums! Leo nimekuja kujuzana zaid katika ulinzi wa sm yako na kuitumia ww kama ww daima! Na ata ukiipoteza ama kuibiwa nivgumu kutumiwa na mtu mwengine yyeto yule! Kuna hii...
4 Reactions
75 Replies
11K Views
Earn money online: start online job now and make 10$ per task and 3500$+ monthly.
0 Reactions
1 Replies
644 Views
Masaada wadau chief mkwawa na wengine
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna T-shirt nimependa eBay nataka kununua nimepewa muongozo ila sijaelewa maana imeandikwa T-shirt moja $3.45-6.45 +3.50 shipping ivyo nina hela hapa 150000 nawezaje tuma na mimi ntapokeaje kwa...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Massive Galaxy S8 Leak Reveals 25 New Features Galaxy S8 press images show how sleek these new Samsung phones will be: Massive Galaxy S8 Leak Reveals 25 New Features
3 Reactions
90 Replies
7K Views
Naombeni msaada Chief-Mkwawa Kang
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Naomba usaidizi nataka kubadilisha samsungj7 kuwa na window ya Microsoft naomba usaidizi hapo nifanyeje?
1 Reactions
14 Replies
1K Views
HABARI WAKUU Naomba mwenye ujuzi kuhusu upatkanaji wa hii software anijuze
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Naomba msaada ninataka nifungue ofisi kwa ajili ya kufanya marekebisho ya simu pale inapotokea zimeharibika hivyo naomba kujua aina nzuri ya flashing box, bei na maduka gani taipata. Naomba msaada...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Simu yangu inawai kuisha charge nifanyeje?
0 Reactions
5 Replies
836 Views
Heshima kwenu wanajamvi! Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya "configurate" modemu kwenye kompyuta. Maana nimezoea kwenye simu. Natanguliza shukurani zangu za dhati!
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari za muda huu wanajukwaa! Kama kichwa cha thread kinavyojieleza,kuna simu mpya za Smartphone za Vodafone ambazo zinauzwa kwa Tsh.70,000/= tu. Na zinaonekana kuwa na Android 6.0! Kama kuna...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu naomba mnisaidie simu yangu ina tatizo la kuchemka kila nifunguapo data ,nimejaribu kurestore simu zaidi ya mara tatu ili niondokane na hili tatizo la kuchemka kwa simu yangu lkn naona bado...
0 Reactions
70 Replies
16K Views
Halotel nao ni kimeo.
2 Reactions
47 Replies
8K Views
Habari ya majukumu wana jamvi? Nina modem ya TTCL ZTE zile ambazo zina line ya ndani (inbuilt line). Kwakuwa siitumii kwa zaidi ya mnusu mwaka, nami nikafikiri kuiformat ili niitumie kama thumb...
0 Reactions
2 Replies
801 Views
Nikiwa nataka ku follow mtu huniletea hiyo msg na nikiwa na unfollow mtu holeta hii msg Nisaidieni kwahili
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Sielewi nini maana halisi ya ku root simu. Hivi ukiroot ni kama ku flash au ku restore
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom