Kariakoo Online ni unlocking server inayo uza factory network unlock codes za simu mbali mbali kwa kutumia IMEI namba ya simu.
Pia tunafanya calculation za unlock codes za nokia Sl3 kwa kutumia...
Habar za mda huu..
Wadau naomba mnisaidiee.. Wakati nafungua fb acc yangu katika kuiprotect nili allow ile "CODES APPROVALS" kwa no angu yangu ambayo nmeuingia fb..
Kuna ck nikalog out... sasa...
Jamn wajuvi naomben msaad wen mm nikitaka kumtumia mtu meseg pm haziend naambiwa maneno haya NOTE SUPPORT MODULE PRIVATE MESSAGE
Na hata nikitaka kufungua meseg zangu za nyuma hazifunguki yaan...
Wakuu nataka kununua Panga Boy (feni) sita za saizi ya kati, lakini mimi sio mzoefu wa hivi vifaa.
Vipi na zenyewe zina brands au aina? Na je ipi ni brand bora zaidi?
Natanguliza shukurani.
Nilizoea Huawei y6 pro sasa nilivyoingia kwenye toleo la Huawei y6 ïï nahisi kama inalamba sana bando kwani nikiwa na MB 1000 nilikuwa natumia siku wakati data zikiwa always on lakini Leo Huawei...
Niaje wadau....kuna ugonjwa mpya umezikumba simu za nokia 1280 na nokia 105 and nokia 101.
Upande wa meseji ukituma sms mfano "mambo vipi" mpokeaji(receiver) anapkea ikiwa hivi
"£¥€€§&^~ vp"...
Habari wakuu
Nina smartphone ya kichina blackview a8 ,iko rooted, Jana nkawa na update system lkn baada ya muda ikaniambia error.. .nkatoa battery , nlivyokua naiwasha ikawa inaishia katikati...
Habari wana JF,poleni na majukumu,mods ikiwezekana hii thread ipeleke jukwaa la Gadgets and science maana kila nikiingia hlo jukwaa hamna sehemu nayoweza kupost
Nimei restore Tecno w5 kupitia...
Tatizo lilianza hivi nilipakuwa mtandaoni Free antivirus ambayo inaitwa AVG ili ifanye kazi ilihitaji PC niirestart sasa tangia hapo PC haimalizi kujirestart na mpaka sasa imechukua masaa manne...
Najua title inavutia na wengi watajua ni download link au crack imetoka.. Nope!!!
Wengi tuna mazoea ya kungoja cracks au reloaded version za hizi AAA games, ila kwa EA na denuvo naona wamekaza...
Habari za muda huu, nimepatwa na tatizo na ninashindwa kulitatua, nilienda kwenye control Pannel na kufuta program zote za itunes kwa kuwa sizihitaji kwa sasa, lakini baada ya kufanya hivyo...
Habari zenu wadau..nilitaka kutengeneza VoIP ambayo inaweza kupiga Simu kwa simu za kawaida...ambayo inaweza kupiga Simu international....nimeanzisha iyo VoIP na inapiga kazi vzuri on video,audio...
Habari wapendwa mimi napenda sana teknolojia (Geek wa hali ya juu) sana na nina ndoto kubwa sana kuhusu teknolojia na lengo la kufungua thread hii ni kuwahamasisha wenzangu wanao penda teknolojia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.