Msaada wakuu nahitaji kujua na kuhakikisha ili nijiridhishe kabla sijanunua pc kuhusu ukubwa wa ram , processor na harddisk kabla cjanunua kuhakiki anacho sema ama kilicho andikwa na muuzaji .
Za kushinda wana JF!
Nahisi shemeji yenu amefanya mavirigiza yake anaona every thing nnachofanya katika simuy mf.wasap, insta, fb n.k!
Kuna ndugu zake nimewasiliana nao kwa FB (family issues) na...
Habari ndgu zangu . Nilikuwa ninaomba mwenye Uelewa kwenye simu anielekezeJinsii ya kuacha mawasiliano yangu kwenye simu yangu. Nikimanisha kila nitakae ongeanaye yawe recording kwenye phone or...
Habari wadau,
Tatizo langu ni PC yangu monitor yake kimebadlika rangi yaani kinaonyesha rangi ya pink na kijani. Msaada wenu nahitaji na sijaiangusha wala kuibamiza na kitu chohote.
Wakuu! Nimekuwa interested sana na hizi laptop hasa ninapoziona zikifanya kazi kwenye movie nyingi sana ki'Intel/Science Fiction.
Utakuta jamaa hasa soldiers wana run programs flanii hivii code...
HABARI ZENU WAKUU
NAOMBA MSAADA ,NI FIRMWARE IPI INAYO WEZA KUINGILIANA NA HUAWEI Y530-UOO VODACOM TANZANIA,MAANA NIMEJARIBU KUFLASH KWA KUTUMIA FIRMWARE TOFAUTI TOFAUTI IMESHINDIKANA KUMECHI...
msaada hizi coke free WiFi je kuna way nyingine ya kuunganisha au ni kama kawaida unawasha WiFi then unaconnect? mfano me nmejalibu kuitumia bhana na nipo na hotspot tower yenyewe kama 2 or 5 m...
Wakuu wenye madishi ya Startimes watuambie
Kuna ndugu yangu ambaye tangu anunue dishi la Startimes tangu mwaka jana hajawahi kulipia hata senti lakini anapata local channel za bure zaidi ya 30...
Wataalam wa laptop ni ipi bora kati ya Asus Zenbook UX310 au HP probook 440 g3. Hp ni brand ilizoeleka bongo kwahivyo haina shaka. Upande wa pili asus wan design nzuri sana metallic ambayo kwa...
Jaman kuna simu yangu inaonyesha hayo maneno nikitaka kuinstall WhatsApp apps, so hata ukibahatika kuinstall bado kupitia WiFi bado kusend text inasumbua.
Msaaada tafadhari
Habari ndugu zangu wa humu, naomba msaada wa simu gani ni nzuri inayopiga picha vizuri maana kwenye simu mimi huwa naangalia kamera na ram ,ninatumia tecno j8 mwanzo ilikuwa inapiga picha vizuri...
habari za wakati huu wanajamii, nina tatizo kwa mwenye kusaidia anisaidie tafadhali, nina laptop aina ya dell latiyude E5400, 32bit, hivi karibuni kuna mistari mistar inajitokeza kwenye kioo ikiwa...
Wakuu natanguliza salam kwanza
[emoji117] Naomba tujuzane kama kuna uwezekano wa kurudisha mafaili ya disk tofauti na C kwenye PC, mfano PC ina partition 2 tu means local disc C na D na ikatokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.