Kwa mwenye ujuzi au uzoefu au utaalam..anisaidie..
Nimefunga solar panel W150 na W 100
Kwa ajir ya matumiz ya nyumbani kama kuwasha taa..za nje getin n.k
Je ni CELL(battery) gan nzuri naweza...
Wadau! Natumaini mpo poa na harakati za kimaisha zinaendelea.
Hivi karibuni nilikikuta Sina ujanja, ikanidi nilirestore simu yangu (iphone) tukio Hilo lilipelekea kupoteza data zangu zote...
Habari wakuu. Simu yangu aina ya HUAWEI Y520 huwa inazima kila baada ya dk 3, hususani nikiwa ninaitumia; ila kama siitumii na nimeiwasha, haizimi. Nimejaribu kufanya factory reset zaidi ya mara...
Tafadhali naomba msaada wenu, nimeenda kwenye setting lakini naona haisaidii. Kwenye setting nimefanya default storage as memory card lakini kila ninachofanya kwenye boom J8 kinajisevu kwenye...
wadau ninaomba mnisaidie kwa wale wanaojua, ningependa kufahamu je nikinunua iphone ambayo imeflashiwa (refurbished) inaweza kuperfom kama iphone ambayo haijafanyiwa hivyo?
kuna kampuni inauza...
Wana jukwaa habari?
Anatafuta android app kwaajili ya kublock incoming sms. najua nyingi zinaweza iyo kazi but zinaweka spam box or blocked box.
je naweza pata app (free) ambayo itakua inazi...
Laptops ni komputa zinazobebeka kirahisi kwenye mkoba wa mgongoni au mkononi zinazopenda kutumiwa na wasomi wengi kurahisisha utatayarishaji wa kazi za kiofisi na zile zisiyo za kiofisi.
Laptops...
Habarini
Lengo ni kuweza kufahamishwa Kam Kuna vifurush vya dakika na sms za kutuma kwenda nje ya nchi hasa East Africa kwa mitandao ya voda, tigo, zantel na airtel.
Na mitandao mingine pia...
Kila nikihamisha uku Kwenye primary disk vinabaki. Vingine naambiwa contact to administrator to permission for deleting or moving this file.. Sielewi apa wakubwa nissidien Nifanyaje.. Vitu vimejaa...
Top 5 Rockstar Free Roaming PPSSPP (PSP) Action Games which can also be played in Android phone. I'm sure you haven't play 1, 2 and 4
Top 5 Rockstar Free Roaming PPSSPP (PSP) Action Games | AndroBliz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.