Hello wana IT.. Nahitaji game zuri la URUBANI linalocheza kwa PC...
PC angu ni HP PROBOOK 450.. IKO NA 600GB HDD.. 256 VRAM.. 6GB RAM.. 1366X768 screen resolution.. Core i5.. 2.22ghz..... Naomba...
salaam wakuu
Nina sm ya tecno y3
imeanza tatizo la kujizimazima yenyewe kwa muda fulan na kuiwasha haiwaki had itolewe betr na kurudishwa ndo iwake.hebu nisaidie hili tatizo✌
Nahitaji Kununua Radio kwa ajiri ya mZiki wa Nyumbani ki getho getho sasa Nina laki 5 Hadi 8 mwsho nahitaji kupata Home theathre nzuri..itakayo dumu,iwe na mziki mkubwa kama bufa na...
Habari zenu,,
Hivi katika website kuna uwezekano wa kudetect inchi ambayo mtembeleaji anatokea na aweze kuona content za nchi yake tu? Mfano kama hapa jamiiforums pangekuwa panajumuisha watu...
Wakuu,
Nina Flash ya Imation 8GB, kuna siku nilikuwa nacopy movie kutoka kwenye computer.
Wakati bado inakopi movie nikachomoa flash, sasa kuirudishia tena ina niambia, "Remove write...
Natoa furasa hii kwa anayetaka kutengeneza pesa fasta, nahitaji Microsoft Kinect Sensor for XBox One. Pia nahitaji Microsoft XBox Kinect Adapter. Pesa hii hapa nimeishika mkononi.
Mambo vp wadau, Naezaje fix tatizo la baadhi ya templates kwenye blogger kutoonyesha ads mfano za seebait kwenye mobile view , ads inaonekana kwenye desktop view tu.
Msaada wenu tafadhali wataalam.
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Ilboru iliyopo Jijini Arusha akionyesha namna 'Robot' alilolitengeneza kwa kutumia zana mbalimbali.
Rai yangu kwa watanzania tujaribu kuunga mkono...
Habarini wadau,
Niende moja kwa moja kwenye tatizo langu.....Simu yangu tajwa hapo juu imekuwa iki-restart yenyewe mara kwa mara na nimeshindwa kujua tatizo ni nini
Inafika wakati inaniambia...
Habari za wakati huu wataalamu!
Hivi ni kwanini sikuhizi huu mtandao wa VODACOM Umekua ukisuasua?!
Yani mambo ni tofauti kabisa na mitandao mingine mtandao wa Voda sikuhizi wamekua wa ajabu...
Habari wanajamvi napenda kuwakaribisha wote wanaohitaji android app kwa ajili ya kampuni,biashara au kwa mahitaji binafsi.
Tunatengeneza app ambazo ni:
1. simple & Clean Interface - muonekano...
Hodo wataalam, leo nimewakimbilia ili kupata msaada jana nilihangaika sana ku douwnload movie kadhaa lakini nilishindwa kwenye laptop, Natumia software inaitwa U torrent matokeo yake ikabaki...
Naombeni msaada wa haraka wataalamu nifanye nin au nisolve vp hii ishu? Nina pc yangu siku ya tatu,leo keyboard inasumbua baadhi ya buttons kam zile f's zote,enter backspace,space,caps and num...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.