Mwenye ujuzi anisahidie jinsi ya kupata Duccument za kwenye hiyo link jamani mana kila nikijaribu ku copy na shindwa..>>>Kanuni za ufugaji bora wa kuku
Hello Wanatech!
Nimekuwa natumia internet sana bila kuifahamu vizuri origin yake hasa ni wapi, nimeona ni heri niulize huku.
1. Ni nani alianzisha internet hapo kale? Elezea kidogo na historia...
Habari zenu wakuu,muda si mrefu nilikua mtandaoni natafuta video editing software (Hitfilm) kwa kutumia laptop,kwa kua nilitype tu google kupata version ya software hiyo nimejikuta nafungua link...
Wataalam naomb kufaham kwa hizi simu za tecno,,ambazo kila kukicha wanatoa matoleo mapya he mpaka kufikia sasa ni tecno gan ambayo ndio bora kuliko matoleo yote,,na yenye kamera ya ubora wa hal ya juu
Habari za mdaa huu wana Jukwaa hili pendwa.
Naomba kujuzwa kama hyo graphic card ya hii compture inaweza kutolewa au laa
Chief mkwawa na wengine masaada
Habari zenu wapendwa kichwa hapo juu kinajieleza
juzi kati wezi walivunja madirisha ya nyumba nikiwa safarini na kufanikiwa kuiba laptop aina ya dell,television aina ya Samsung pamoja na...
Wadau niaje, ebhana nashindwa kitu kimoja, kila nikijaribu kupata huduma ya Go Live kwa TCL inagoma. Inaishia kuniambia kuwa Network unavailable, wakati huo huo nikiwa kwa Youtube au social apps...
Wadau kwa wale ambao kwa sasa hawaipati kodi xbmc kwenye play store ambayo baada kufanyiwa update inapatikana kwenye Simu zinazotumia mfumo wa lollipop na kuendelea,jaribu kupakua spmc kutoka...
**For Educational Purpose**
**Wont be accountable for any problems that may occur**
No offense!kwanini watanzania tunapenda kukurupuka? Ni kwasababu ya ujinga au u-muchknow? kulikua na haja gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.