Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Baada ya kupita mikoni mwa unaojiita mafundi simu simu yangu haikamati network ,inatokea inashika na inapata moto. je i aweza kuwa safi tena?
0 Reactions
0 Replies
527 Views
Kama ulikuwa ni fan wa Shazam na umeitumia windows phone, basi utambue ya kuwa utakapo-Uninstall au kureSet Simu yako basi hutaweza tena kuipata kutoka APP STORE. officially kuanzai 7 february...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
App gani ni mzuri baada kuroot simu yangu naomba msaada Kwa hill
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu mnaonaje speed ya internet kwa sasa hasa hapa morogoro mimi kiukweli iko slow sana tangu mvua zianze kunya aisee torrents zangu hazijaisha duh halotel,voda,na airtel mnaboa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
DevOps is the procedure in which operations and development team work in coordination in the complete service lifecycle, from design through the development process to production support.In DevOps...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
NINA BLOG YANGU ILA NINAHITAJI KUPATA TEFMPLATE AMBAYO ITAKUA SIMPLE HUSUSANI KATIKA UFUNGUKAJI WAKE NIKIZINGATIA WATU WENGI WANATUMIA SIMU..HIVYO MARA NYINGI NINAYOTUMIA IMEKUA NZITO SANA
0 Reactions
2 Replies
665 Views
Habari waungwana, Napenda kushauri kama unaona hauko salama kutokana na hili wimbi la utekaji lililo halalishwa hapa nchini. Napenda kushauri kuwa tununue smart watch (saa za mkononi) ambazo...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Samahani wadau nina simu yangu sumsanga Galaxy Note 2 najaribu kuverify number wakat na install whatsup inanigomea naomba msaada nimejaribu kureboot lakini bado tatizo linaendelea naitaji msaada...
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Wanabodi, Nimeangusha simu tajwa hapo juu kioo kimepata ufa ila simu inawaka vizuri tu, Tatizo ni kwamba touch screen inazingua nashindwa kufanya chochote hata kuswipe screen lock. Wakati mwingine...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu msaada wenu nisaidieni hiyo tools jamani na password zake ,nicheck whatssap kwa 0629166514.
1 Reactions
0 Replies
469 Views
Model : Hp. RAM : kuanzia GB 4 iz better. Processor : kuanzia icore 3. Hard disk : 500 GB . Size : inch 10 - 15 kati ya hapo.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Thread closed
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina HTC kaiser/ HTC AT&T tilt ya kimarekani, haisapot simcard za bongo, naomba maujuz kwa aliye na uelewa wa ku unlock, ilikua inatumika kwa network za kimarekani ndo mana ipo under AT&T(...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna wakati nilikua nikiwaza juu ya kutengeneza kitu sana sana katika swala la Elimu. Sasa nimefanikiwa kutengeneza app like game inaitwa Endless mathematics quiz, ni app ambayo nimeiweka...
8 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu habari, Samahani, naishi mbagala huku. Jirani naona kaamua kugeuza nyumba yake Kuwa bar. Mziki anazima saa nane, usiku nimejaribu kuongea nae. Sauti ya mziki kapunguza muda mwingine hakawa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu naomba mnijuze bei ya tecno c9 mpya dukani kariakoo ni shilingi ngapi?..napenda kutanguliza shukrani kwenu..
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa kuweka nyimbo kwa iTunes kupitia Maana Apple ID yangu naona hairuhusu Mimi kuweza kupakuwa any music from I tunes
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa watu Wote ambao wako interested Na virus,worm Trojans AndroidRAT, botnets,ransomware Na all in all cyber security waweza changia lolote ulilonalo hapa ndani tuka discuss Na kujadili
4 Reactions
112 Replies
14K Views
Kwema wakuu? Naomba kujuzwa wapi napoweza kupata stylus ya galaxy note 3 kwa hapa Dar. Huwa naagiza aliexpress, ila kwa sasa inahitajika kwa haraka kidogo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom