Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau yamenikuta mwenzenu nilikua nikiambiwa sana kuhusiana na adsense kufingia account za africa na especial zinazotegemea traffic ya facebook sasa hatimae yamenikuta wamelamba account yangu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kiukweli ni lugha ambayo niliitamani na pia naipenda sana!! nna hamu nifike mbali hasa katika software development za simu au komputa!! je mdau uliye soma java, ulisomaje ukai master? je nisome...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Nina sim aina ya tecno y3 baada ya kuanza tatizo la kuwaka na kuzima bila kumaliza nikaamua kui flash baada ya kui flash nikaja kugundua ile sticker ya imei number kuna baadh ya imei...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
wadau wana jamii naomba App ambazo ni mzuri baada ya kuroot simu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama somo linavyojieleza hapo juu iwapo simu ya android imepotea au kuibiwa na bado ipo hewani ni application gani naweza kujua ipo eneo gani?
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Habari wakuu!naomba msaada juu ya samsung galaxy s3 ambayo nili upgrade kutoka android v4.0 kwenda4.3via odin ila baada yakumaliza inanimbia "emergency call only"na inafull signal na ukifanya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Heshima mbele kwenu wakuu. Hapa mkononi nina hiyo modem ya airtel wingle E82321. Naombaa mwongozo jinsi ya kuifanyaa hiweze suport line zote. ............ Inafungukaa na browser
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tusaidieni jaman maana izi PC za Mac kutumia shida
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nina simu yangu Sumsang pocket S5300 inatatizo Kwenye upande wa kupigiwa simu, mtu akinipigia Namba yangu inatumika muda wote, nikiweka line yangu Kwenye simu nyingine inapatikana...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Nina DVD player yenye tatizo la kutoa nje DVD/CD wakat haujairuhusu.Msaada tafadhal
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu...jamani nisaidieni kupata link za jinsi ya kupata channel za dstv kwenye simu mwenye nazo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za jioni wakuu .laptop yangu hard disc imekufa ghafla .pc inaniandikia no bootable device. Nimeiweka kwenye PC nyingine pia imegoma.sasa shida yangu kubwa file za ndani walau nizipate alafu...
0 Reactions
1 Replies
525 Views
Habari Jamii technology. Kwa anaefahamu naomba anisaidie kuelewa ni nini- Laptop yangu aina ya Acer Aspire window 8 imegoma kuwaka na imechemka sana, mara ya mwisho kuitumia ilikuwa ni jana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wadau nina simu yangu nlichukua kwa mtu ni iyo tajwa apo juu sasa ikawa hai run 3G nkaamua ni hard reset sasa balaa lake ni kwamba after hard reset ku reboot simu ikawa inadai previusly email sync...
0 Reactions
2 Replies
593 Views
Takribani wiki mbili sasa nimekuea nahitaji hili rundo la Haliishi bila mafanikio. Mtandao wa Vodacom hapa Mmeniboa. Huduma kwa wateja hawapokei simu. Mmeshindwa vodacom.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wana JamiiForum. Polen sana na majukumu. Nina simu yangu Huawei model Y 330-U110. Tatizo lake nikitaka kuangalia majina au kuweka vocha yaan nikibongeza application ya CONTACT...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani Naomba Msaada Wa Manual Internet Settings Za Mtandao Wa Vodacom, Ahsante.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana jamii..... Nina tatizo hapa wiki iliyopita pc yangu ilikua nikiiwasha inaandika no bootable device nikaweka fresh hard disk ikawaka sasa wakati nafunga bahati mbaya ile hard disk...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom