Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari za jioni, nina tatizo juu ya jinsi ya kufanya PC yangu aina ya Toshiba kushare Internet kwenye vifaa vingine vinavyotumia Internet. Nimewahi kufuatilia 'Tutorial' moja ambayo ilinielekeza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KingRoot , Kingoroot na zingine zimekataa katu Wqtaalam msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
665 Views
Mwezi wa Enceladus ambao uko kwenye sayari ya Saturn huenda ukawa mahali bora zaidi pa kwenda kutafuta maisha nje ya dunia. Tathmini hii inatokea kufuatia uchunguzi katika sayari hiyo yenye...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
http://www.sciencemag.org/news/2017/04/new-solar-powered-device-can-pull-water-straight-desert-air
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanini simu zote za battani kwenye namba namba tano huwa kuna doti mbili... Hizi zina maanisha nini
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Hivi tanzania hakuna programmer wa games nawakaribisha sasa tusome hata kwa kupeana ushauri , maoni na kusaidiana so far mi natumia UNITY3d kudesign na kucode game karibun sana .
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya kucheza na Serious Bugs za experimental builds zilizopita,finally hii latest build imeanza kuleta muangaza wa uwezekano wa hii fantastic Project kufanikiwa. Binafsi nimeanza kutumia hii...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza ni wiki ya pili sasa pc yangu inaji restart na kuandika maneno hayo hapo juu. Kwa mwenye uelewa tatizo hili nitalimalizaje? na sababu yake ni nini...
0 Reactions
3 Replies
883 Views
wanajamvi, nina tatizo la roaming connection kupitia moderm. modern inabadilika rangi inakua kijani mkoreo, speed inapungua inakua about 1kb/s. dashboard inaandika R, ukiwa unaistart dashboard...
0 Reactions
6 Replies
919 Views
husika na kichwa,nlikuwa naplay game ya gta xax ikasumbua ikanibid niformatt hard d na kuinstall window7 ultmate lkn kwa sas nikifungua ile game ya gta inanambia can not find enough available...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
wakuu naomba mwenye kujua jinsi ya kureset password kwenye wi-fi router ya vodafone anisaidie nimeinunua kwa mtu (teja) na iko protected msaada kama naweza kutengeneza new password
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari wakuu compyuta yangu aina ya dell imekua na tatizo hivi karibuni nikiwa naitumia inanuka kama kitu kinachoungua tatizo itakua nini hapa???
0 Reactions
6 Replies
973 Views
Wadau! Natumaini mpo poa na harakati za kimaisha zinaendelea. Hivi karibuni nilikikuta Sina ujanja, ikanidi nilirestore simu yangu (iphone) tukio Hilo lilipelekea kupoteza data zangu zote...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hbr yenu wakuuu!! Kam kichwa cha hbr kinavyojieleza apo. Kuna system nimedownload apa naingiza username and password nilizozikuta kweny link ambako nmedownload but zinagom. Kwahvo nilikuwa naombe...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari zenu jukwaani, Naomba wajuzi na mafundi wa solar wanieleweshe, nataka kufunga Solar sehem ambayo matumizi yake ni kama ifuatavyo:- 1-mafeni mawili ya solar 2-taa 8 za solar 3-Amplifier ya...
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Delivering 5MB hard drive in 1956!! Sources: What a 5MB Hard Drive Looked Like in 1956
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa wataalam wetu wanasema kwamna treni ya umeme ina kasi sana.. Je inatumia vp huo umeme kuwwza kufanya kazi. 1 inatumia umeme kutoka nje? Kama ilivyo majumbani... Na je umeme...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama tittle inavyosema hapo juu natafta kioo cha flat screen yangu inch 32 kampuni ni mo electro...nipo Arusha
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Dell laptop imegoma kuwaka na wala haipitishi chaji. Nilitumia majuzi hadi ikaisha chaji na kuzima kabisa. Sasa leo nimejaribu kuchomeka chaji yake, taa inaonyesha kama chaji inapita lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natumia Toshiba..ina RAM 2gb, processor 2ghz na harddisk 320GB, zaidi za 160gb zipo free, lakini cha ajabu siku za karibuni imekuwa slow sana...karibia kila program inastack, naomba msaada wenu...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Back
Top Bottom