Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jaman nilikuwa naomba methods za kufungua blog na faida zake
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Je umekwisharoot Android device yako (Smartphone/Tablet) Topic za Android Rooting imekuwa zikijadiliwa sana hapa jukwaani. Lakini mtu anaweza akawa amesharoot simu yake lakini asifahamu kwamba...
5 Reactions
21 Replies
8K Views
Naombeni msaada ni application gani naweza download ili niweze Ku stream live channel za televisions za hapa nyumbani Tanzania.
3 Reactions
4 Replies
5K Views
Nipende kujumuhika nañyi wana jukwaa kupongezana kumaliza mfungo mtakatifu na heri ya Pasaka. Nina shida ya kupata blog ama namna ya kuanzisha blog, kama yupo anayeweza kunisaidia ntafurahi ili...
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Nawezaje kutazama zile tamthiliya za telemundo on line, sio zilizopita ila zinazoendelea sasa hv, msaada tafadhari
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Satellites unaweza kuleta ishara digital kwenye maeneo ambapo Internet inaonekana kama miujiza: off-gridi-jangwa mashamba ya jua, Arctic au ndege carrier baharini. Lakini katika beaming data na...
0 Reactions
3 Replies
777 Views
Jamani page yangu ya instagram nikimfollw mtu au akinifollow ina goma yaani ukituma request au ukitumiwa request ukitaka ijibu inagoma sjajua marafiki ndio wamejaa au nifanyeje
0 Reactions
3 Replies
773 Views
Wadau, habarini za kwenu? Kama tittle ilivo, nimepasua display yangu ya samsung ace j1 so kioo kama kimevujia wino ndani.. So natafuta kioo(display) hii simu.. Please kwa mawasiliano ni 0719058458
0 Reactions
1 Replies
726 Views
Ng'ombe hazeeki maini. Kampuni ya BlackBerry inatarajia kurudi tena sokoni kwa kuzindua Smartphone yake ya BlackBerry Keyone ambayo itakuwa na vitufe vya QWERTY na itatumia mfumo wezeshi...
17 Reactions
91 Replies
10K Views
Naomba msaada. Samsung 6 yangu imeibiwa. Nikiipiga inaita. Bahati mbaya siikumbui IMEI yake. Nifanyeje wandugu. Police wameniambia niwape IMEI lakini siijui. Niko na Halotel
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu sijui ni kwangu tu au na kwenu pia, yani speed ya huu mtandao imekua zaid ya konokono. Yani hata kufungua picha za instagram ni shida,huko YouTube ndo usiseme mpk nimeamua kushusha quality...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Nikirun hizi code... def break_words(stuff): """This function will break up words for us.""" words = stuff.split(' ') return words def sort_words(words): """Sorts the words."""...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habarini wana JF wote. Poleni na majukumu ya kujenga familia na nchi. Wakuu natafuta HTC HD2 ikiyokufa au nzima. Pia natafuta kioo cha Toshiba Satelite C660 pamoja na keyboard yake. Nawatakia...
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Habarin waungwana, nna computer yangu aina ya Hp, ilikufa harddisk tukaweka nyingine. Tatito ni kwamba tangu iwekwe hiyo hard disk ingine imekuwa hain sauti. Nimejaribu nimeshindwa. Nimeomba...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
nina tatizo la modem kudisconnect. nilipokua natumia connection type ya RAS inayokubali dial up nilikua nalikwepa hili tatizo kwa ku-redial either kwa kuset connection kwenye control panel au kwa...
0 Reactions
1 Replies
456 Views
Hivi ukiiroot cm inakuwa na faida gani
0 Reactions
2 Replies
654 Views
Leo pind napost nashapost katika blog yangu nikaona ujumbe huu je unamaana gan kiufafanuzi wa kina na hii ndio blog yenyewe www.webweekhow.blogspot.com pind n na hii ndio post yenyewe How Do...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu Naomba msaada. Simu yangu Ina internal capacity ya GB 8 ni Tecno W3. Lakin lakin kinachonishangaza inajaa upesi wakati ina app chache nlizozidownload. Pia sion opt ya kuhifadhi app kwenye SD...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari za mida hii wakuu? Natumia laptop aina ya HP, hii laptop ilikuwa inashika Wi-fi kutoka kwenye simu yoyote au mahali popote penye wireless inanipa notifications na natumia bila shida kama...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
watu wengi tuki nunua simu tuna taka hiwe inasoma 4g lakini hiyo 4g imegawanyika katika familia mbili ambazo ni TD-LTE na FDD-LTE. ni tofauti kati ya TD-LTE na FDD-LTE ni nini? yote ni matoleo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom