Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wanajaamii. Kwa wale wenzangu mlio vizur katika android development. Naomba msaada kwa mwenye ujuz wa namna ya kuwasiliana kati ya fragment mbili au zaidi (fragment communication) kwa...
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Hi Je wajua kuwa atomic bomb ni bomb lililotengenezwa kutokana na mzozo wa kanuni za fizikia uliotekea miaka ya 1930 Mwanasayansi Albert Einstein akiwa katika hali ya masihara alivumbua kanuni...
1 Reactions
1 Replies
710 Views
Mtaalam wa pc ya Dell latitude D 830 anipe kampani hapo Asante
0 Reactions
3 Replies
614 Views
Mnaotarajia kununua ps4 ila mna TV zile cable za rangi tatu msije mkaingia hasara bure due to lack of awareness Play station 4 saizi inatumia teknolojia ya h.d.m.i cable kuunganisha ps4...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
zvdvvdv
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Wakongwe tumekuwa tukiona watu wengi wakianzisha app zao na kuziuza.. Kuendana na mabadiliko ya teknolojia.. Ndio maana Kelvin wa instagram alianzisha instagram na ndani ya mwaka mmoja aliiuza 1...
0 Reactions
9 Replies
866 Views
Jamanii pc yangu inazingua ukifungua kitu kinafunguka kingine tofauti nalichofungua. Nimepiga window chin still tazizo bado
0 Reactions
0 Replies
378 Views
Simu nying latest hasa zinazotumia operating system za android, windows mobile hazitumii ip address na pronxy katika kuset internet. Hizi simu zinatumia access point tu ambayo ni internet then...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
ni topic ya form three na hyo maswal ymenishnda na naamin kuwa kuna mmbers genious humu who can help me unaweza ukalifanyia pmben then ukapiga pcha ukatuma thank u kwa kutumia mda wko...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
NUNUA SMARTPHONES MPYA NA ORIJINO KWA BEI RAHISI KUPITIA SMARTPHONES TANZANIA – Original Smartphones at lower prices WEKA ODA YAKO NA UTALETEWA POPOTE ULIPO DAR ES SALAAM PIA MIKOANI TUNASAFIRISHA
0 Reactions
3 Replies
2K Views
window disk inaonesha imejaa, nimejaribu kufuta vitu vyote vilivyopo kweny window lakini bado rang nyekundu haitoki. naombeni mnielweshe nini cha kufanya? natanguliza shukran cc Chief-Mkwawa.
0 Reactions
4 Replies
631 Views
NAomba msaada kwa anayeijua video editor nzuri isiyokuwa na license
0 Reactions
2 Replies
765 Views
Nimeshangaa nilipitia gallery ya iPHONE 7 pale GSM ARENA na kukuta hiyo picha yenye 3.5mm audio Jack. sasa swali ni kwamba hii imamaanisha GSMArena hawatumii official images kutoka Apple au huwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habar za mida, nimewasha pc yangu DELL LATITUDE E6410 imeniletea ujumbe huo(kwenye picha) , nimejaribu kurun onboard diagnostic lakini sijapata majibu tatizo lipo wapi.
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Wadau msaada,nimetumia backup ya simu lakini naona haikubali natumia LG F180S,pia simu inatumia Internal memory ya simu tu.
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Wakuu iphone 6 yangu inagoma kuupdate to ios 10.3.1 tatizo linaweza kuwa nn? Mana nimejaribu zaid ya mara 3 inaanza kudownload ila ikitembea kidogo inaleta message ya error
0 Reactions
3 Replies
630 Views
Guys, salaam!!! Huu mjadala nauleta hapa manake baada ya kupitia michango mbalimbali huko kwa wenzetu ni kama hakuna jibu sahihi la which is which kwahiyo ningependa kupata maoni ya Kibongo...
0 Reactions
6 Replies
681 Views
Nina imani hili jamvi limebeba kila aina ya wataalamu . Nina tv yangu aina ya TCL SMART , nashindwa kuunganisha internet ili niweze kuperuzi vitu mbalimbali . Naomba msaada wa maelekezo.
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ni smart Tv aina ya Samsung 6 series Kwa wale wataalamu naOmba mnisaidie kunielekeza jinsi ya kuweza kuunganisha internet kwenye tv hii ili niweze kuangalia mpira kwenye hii tv maana naziona...
1 Reactions
26 Replies
10K Views
HABARI wana jamvi humu..? Ebana mimi nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa miaka mingi japo sikubahatika kusomea mambo ya kumputer ila nilisomea mambo mengine ..lakini nimefanya utafiti binafsi...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom