Naomba msaada kwa yeyote. External Hard Disk yangu nili iprotect kwa kutumia Bitlocker. Nimesahau password na kwa bahati mbaya hata recovery key nimesahau niliko save. Naomba msaada kwa yeyote...
Wakuu habari za mida hii,nahitaji kufunga WiFi kwa eneo lipatalo kama square mita kama 110 hivi nitumie mechanism gani ili eneo lote liweze kuwa na WiFi au ni device gani inaweza kuwa na nguvu ya...
Kulingana na Tcra, Tanzania ina watumiaji mtandao (internet) million 17.3 kwa namba hzo hili ni soko kubwa sana.
Swali langu kwa wataalam kwenye sekta hii haswa wale wanaojihusisha na apps and...
Ndugu zangu naomba msaada kwa ambae anaujuzi huo anisaidie njia nyepesi ya kutengeneza mashine ya kutotolesha mayai ya kuku inayo tumia mafuta ya taa au vifaa vinavyo tumika kutengeneza mashine hiyo
Habari wanaJF
Kwa bahati mbaya nimefuta Chanel zote za tanzania kwenye Receiver yangu hivyo sipati tena chanel za hapa nchini, hivyo basi naomba msaada kwa mtu mwenye frequency za ITV, TBC...
Salaam Wana JF!
Kwa wale wenye uelewa wa hizi mita za umeme za kisasa zinazofungwa juu ya nguzo - jinsi zinavyofanya kazi.
Mita hizi zinafungwa juu ya nguzo za umeme na keypad unakuwa nayo ndani...
Wakuu nana samsung galaxy note 1 ( gt n7000) gafla tu haisomi laini wala network haipandi nikaja kucheki haya IMEI NUMBER haisomi pia naombeni msaada kwa atakae weza pesa ipo.
Ndugu wapendwa habarini za jioni.
Wapendwa nina interest sana na kujua kompyuta hasa hardware na software, yaani ninapenda kuwa expert kwa maana ya fundi wa kutengeneza kompyuta.
Kwa wale...
Za kazi wakuu,
Nime-install Lineage 14.1( Nougat 7.1.1) kwenye Samsung S2, inafanya kazi vizuri, ila tatizo liko kwenye memory, OS imechukua karibu sehemu kubwa ya internal storage. Nimejaribu...
Katika kutembelea website ya ebay nikaipenda simu APPLE iphone 4s-16GB Verion ( Factory Unlocked) smart phone. This device is 100% fully functional having passed our industry leading inspection...
Maelezo yote yapo hapa, best of luck jamani.
Link: Bots for Messenger Challenge
For many years Facebook has been promoting innovation across the Middle East and Africa, providing startups with...
Naombeni msaada wa kununua simu mtandaoni kupitia mtandao wa Ebay, hatua za muhimu za kufuata pia hata kuitambua simu Ubora wake hata network yake, unaweza nunua halafu kufika TZ network locked.
Salaam wana jukwaa.
Nilipata taarifa flan kwamba kuna fundi anatengeneza inveter za kufua umeme wa AC kutoka DC at same time inatengengeneza DC ya kurudisha kwenye betri ilipotoa.
Kumbuka hapo...
Wakuu,naombeni msaada kwa anayejua.Simu yangu Internal memory ni 8GB.
Nikijaribu kuinstall apps inanipa meseji kama hiyo hapo heading. Niliiroot lakini iligoma mpaka wa leo.Any update?
Habari za leo ndugu wana JF poleni na majukumu ya kazi,samahani naomba msaada wenu nimenunua iphone 5c siku 2 za mwanzo ilikua poa kila kitu lakini sasa hvi ina matatizo kama 3 hivi
1.Kuna muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.