Naitumia sana internet ya Ofa Kabambe (Fantastic Offer) ya Airtel kwenye *150*60# option 6.
Lakini kitu cha ajabu kabisa ni kwamba malipo ya kifurushi hiki hukatwa kwenye akaunti ya airtel money...
Habari za Asubuhi wana JF natumaini wote mko salama, leo kwa mara ya Kwanza napenda Kutambulisha Kwenye Akaunti hii ya Tanzania Tech ambayo itakuwa ikitoa mafunzo na habari mbalimbali za...
habari za asubuhi rafiki zangu.
naombeni mnisaidie, mimi natumia email yenye domain ya gmail. mara nyingi natunza mafaili mbalimbali kwenye drive ya email. jana nimefungua ili kuangalia lakini...
Msaada kwenye tuta wadau,
Nimeshindwa kuweka google account au kuingia playstore baada ya kufanya factory setting kwenye simu ya android.
Error ni " couldn't sign in - can't establish a reliable...
Habari zenu wana jamvi!
Kwa kutambua hili ni jukwaa husika, naomba watu waliokuwa wazoefu katika fani mbali mbali za kihandisi kutupatia shuhuda zao kuhusu fani walizosomea, na kukiri kuwa...
Naomba anayeweza kunisaidia kutoa pop up advert yaani yale matangazo ambayo yanajitokeza ghafla kwenye simu haswaa haya ya game lounge kupitia vodacom nimejaribu ku unsubscribe lakin...
Naomba kujua tatizo la pc yangu nikiinstall window 10 inaandika
the version of this file is not compatible with the version of windows you're running.check your computer's system information to...
Habari zenu wakuu. Ninapata shida kwa siku ya pili sasa, whatsapp nashindwa kabisa kuingia. Internet inasoma H+ 200Kbs per second, ila nikiingia whatsapp tu inashuka hadi 0 na nashindwa kutuma...
Ni baada ya kuzunguka kariakoo mtaa wa agrey kuitafuta s8 na kuikosa nimepata wazo ninunue s7 naomba kwa mlio bahatika Au mungu kuwajalia kuimiliki naomba kujui ipo vizuri kwa vitu vifuatavyo...
Wadau naomba kusadiwa kuna picha nilipost facebook kimakosa na nimegundua nikiwa tayari nime klick ile button ya post sasa nahitaji kuiondoa nimeshindwa, msaada kwenu wadau
Habari zenu wapendwa humu ndani,
Mwenye ujuzi au utaalamu wa kushusha new movie kwenye simu za android anisaidie maana kuna movie naitafuta sana.
Plesae naombeni msaada wenu.
Habar wana jf
Kama heading inavyojieleza.Mimi sio fundi wala sina uelewa na mambo ya kutengeneza simu.
Kuna kiasi firan cha pesa nategemea kupata siku za uson.sasa naplan nifungue ofisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.