Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wanajamvi. Nina tatizo moja na Simu tajwa hapo juu. Nikijaribu kuplay music at backgroud inaplay muda mfupi then inastop. Nimejaribu kuinstall music player Apps mbalimbali lakini bado...
1 Reactions
2 Replies
622 Views
Natumia samsung note 4,tangu nianze kuitumia inakubali kuongeza salio lakini napofikia kutaka kujiunga na kifurushi au kuulizia salio la kifurushi hai'support', kuna bwana nilijaribu kumwomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf et ni karatasi aina gan inatumika kutengeneza vipeperushi na majarida na pia ni program IPI inatumika Ku design
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Hiv karibuni kulikua na wimbi la samsung original kufungiwa na TCRA Simu nzima inasoma line ila haipandishi mtandao. Au inapandisha mtandao ila haipigi, haipokei wala data hupati. Ukituma imei...
3 Reactions
68 Replies
7K Views
Hi, Nashindwa kuactivate window 10 enterprise kwenye pc.Kila nikijaribu kuactivate inanipa jibu kuwa window can`t activate right now.Try activating againg later.If that doesn`t work, contact...
0 Reactions
1 Replies
516 Views
Hi, Nashindwa kuactivate window 10 enterprise kwenye pc.Kila nikijaribu kuactivate inanipa jibu kuwa window can`t activate right now.Try activating againg later.If that doesn`t work, contact...
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Nimejaribu kutumia wipe factory reset imegoma kabisa ,naombeni msaada wenu jmn .
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo katika pita pita kwenye kupatana nimekutana na hii.....nikasema ngoja niisome nilipo soma mpaka mwisho nikaona kwa vile mimi nina DSTV ISIWE tabu ngoja niwapigie hawa watu Nikaongea nae na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
habari zenu wanajamvi. naomba msaada nina simu aina ya infinix note 3 yenye internal storage 16 gb na free space hadi ss ni 14 gb kma inavyoonekana hapo kwnye screen shot lakini nikitaka kuinstall...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni Blogger na kwamuda mrefu nimekuwa nikifanya kazi na mtandao waBidVertiser - Webmasters Make Money With Pay Per Click Affiliate Program. ambao unasave matangazo kwenye blog yangu halafu...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Wasalaam.. Kama kichwa inavosema.. Account yangu ya Instagram imekua hacked na haipo tena kwa mtaalamu yoyote msaada jamani.. Nilikuwa naitumia ki biashara.. Ndio maana nahiitaji back.. Ningekua...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakubwa ant virus gn nzur kwenye cm ya mfumo Wa Android
2 Reactions
6 Replies
939 Views
Nimeona tangazo kuhusu app hiyo kuwa naweza uza kitabu. Nimeiinstall ila bahati mbaya hawajaweka contacts. kama kuna mtu anafahamu namna ya kuwasiliana na wamiliki wa hiyo app (Jackson group...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Wakuu mbali na Usumbufu ambao Ninakutana nao Unakuta Niko kwenye foleni Nataka niangalie Taarifa ya Habari hiyo Sehemu Iliyoandikwa ITV hata huikuti hiyo Channel unaona Giza tuu Usumbufu...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
wakuu simu inataka nitumie Nano SIM card na mimi nina micro. Nimeangalia youtube tutorial za jinsi ya kukata nimeona kama ni risk. kuna namna naweza pata kirahisi. hivi mitandao ya simu hawawezi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wana JF, Naamink hapa ni suluhisho la mambo mengi, Nimeibiwa simu yangu Smartphone aina ya TECNO BOOM J8, ina taarifa zangu nyingi muhimu sana, Naomba msaada wenu wa namna ya kumtrack huyu...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Wadau nimetafuta uzi unaohusiana na hicho kichwa humu sijaona,nadhani basi hili jambo bado watu watakuwa halijaanza kuwagusa.Ila kwa wale wapakuaji wa adobe products kule torents saa hizi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau JF Natumia Mtandao Wa Tigo...Nataka Niwe Na Bet Website Gani Nzuri Yakutumia *Waiting for replys*
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kuna fundi yeyote wa pc' hapa jukwaani yupo kariakoo anichekie keyboard ya pc angu niweze kutengeneza,kuinstall window 8.1 pamoja na vitu vingine vinavosumbua katika laptop yangu,awe na bei...
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Hi, naomba minijuzee jinsii ya kutoa pesa paypal, nimekua nikifanya freelancing kwenye website na nimefikia kupata $200 per week(sio nyingi ila nikitu). shida yangu sasa hivi ni jinsi ya kuzitoa...
3 Reactions
53 Replies
8K Views
Back
Top Bottom